Recent content by Mwasihini

  1. M

    Madawa ya Kulevya na aibu ya Tanzania - Yatosha sasa!

    njooni ibogo tukalime china mtanyongwa
  2. M

    Vyuo vimezidi huku Mtaani

    tuongee pointi wandugu
  3. M

    Nauza barbershop

    nakuja kununua kesho
  4. M

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    apo umeongea bwana mkubwa.....yaan wataenda kuangalia mibuyu na nyasi kudadeki.....nchi hii imekuwa kichaka cha majangili wa kichina.... tuwanyonge hao kama mfano jaman!!!!
  5. M

    Hii ni nchi gani? Hizo ni nyumba au vibanda?

    mumbai iyo mzee
  6. M

    Hali halis ya depo la jwtz

    we vp...mbona kilaza ivo...hujaelewa nn?
  7. M

    CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

    nazan wewe ni mbulula tena zaid ya mbulula....hivi unaweza kuchimba shimo la choo yako bila vifa kama jembe??? je, hawa chadema watatimiza kero za wanachi na hali si chama tawala? ngoja washike rungu 2015 uone maisha yako yatakavyokuwa bomba.....!!!
  8. M

    Mikoa mitano inayoongoza kwa uchumi ni ipi hapa Tanzania?

    Kuna jamaa zangu huwa tunasumbuana sana kuhusu ni mikoa ipi inaongoza kiuchumi hapa nchini kwetu tanzania....kama unajua naomba nifahamishe mwanajamiiforum mwenzio
  9. M

    Nyumba ndogo kaficha funguo za gari! Nifanyeje?

    ila na wewe mzembe.....Inakuwaje unamkabithi malaya ufungua wa gari? tena huna uzoefunae? pole?..ila umejitakia
  10. M

    Walimu wawakomba walimu wenzao mishahara yao.

    Cwt! hwana maana, hatuwataki, wanafiki, waende zao, bora tucwe na mwakilishi kuliko kuwa na mwakilishi ambaye ni mamluki wa ccm!
  11. M

    Maajabu ya Kampala International University

    hata cku moja cwez amin! huku ni kuchafuliana tu! mahisi alyetengeneza huu upuuz either kadisco au kafukuzwa ktka chuo hiki!!!! na pengne ndio walewale wa kusema chuo chetu n bora kuliko udom, mara tupo nafas ya ngap afrika!, wakat yeye n kilaza wa kutupwa na hajui kwmba hicho kilikuwa bora enzi...
  12. M

    Ugali ni chakula cha kimasikini

    kwel mbulula wapo wengi hapa tz! wewe unaweza shika nafasi ya1kwa mambulula
  13. M

    Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

    Tutaropoka shule nyingi sanaaaa! lakin ukwel ni kwamba MKWAWA ya iringa ndio kiboko ya shule zote tz!
  14. M

    Kweli, inahitaji uume mkubwa kumridhisha mwanamke

    mambo ya maghaeibi yanawaaumbua dada zwtu. Mbona zaman za mababu zu mabo aya hayakuwepo? boooshitty...... upuuuuuuz mtupu.
Back
Top Bottom