mistari ya chupi kwa wanawake

mistari ya chupi kwa wanawake

Kuna wale wanavaa nguo ndefu mtepeto afu wanazibania kwenye chupi.
 
ukitaka kujua utamu wa marinda hayo yaguse uone utamu..
 
wana jf.kuna hali naiona kwa dada/wake zetu nashidwa kuelewa.Nguo nyingi wanazova sasa zinaonyesha mistari ya chupi.najiuliza ni naumbile? nguo za sasa zinashidwa kusitiri? au ni makusudi?
Biashara matangazo.......
 
siku nyingine ukiwaona na mistari waambie wavae BIKINI au WASIVAE KABISA au wavae machupi yao makubwa na skintight
bora usivae kabisa cause bikini inaongeza bonde la ufa,machupi makubwa yanaleta fangasi na bacteria
 
  • Thanks
Reactions: amu
bora usivae kabisa cause bikini inaongeza bonde la ufa,machupi makubwa yanaleta fangasi na bacteria
ha ha ha Smile we ni noma we mpaka barabarani unatembea bila chupi???
mi nkishinda home kwa kweli hiyoo kitu haina nafasi ila nikitoka navaa
 
Last edited by a moderator:
ni aina ya vyupi. siyo ile imefuliwa hadi imelegea hii haikai fresh. wanawake wenye hips wakivaa hizi wanatoka vizuri. kuna wanaume ambao wanapenda hiyo. wanaume wengine wakiona tu hiyo inawaletea hamu. siyo mimi nimeandika kuna mtu ameiba pass yangu.
 
ahahaaaa unafua chupi hadi inalegea? kuna wengine wanashona ikichanika eti.mchina kaleta kwa mafungu siku hizi
 
wana jf.kuna hali naiona kwa dada/wake zetu nashidwa kuelewa.Nguo nyingi wanazova sasa zinaonyesha mistari ya chupi.najiuliza ni naumbile? nguo za sasa zinashidwa kusitiri? au ni makusudi?

Hao ni washamba.
 
tuacheni kwa raha zetu!! mbona sie hatulalamiki bukta zenu zikiwa juu na suruali mnazishusha?? in short tuvumiliane!!
 
mbona unataka kuaribu kwan hao mm huwa cwacheleweshi faster mistar iloenda shule anakatiwa chake anaenda kunipanu-lia
 
wana jf.kuna hali naiona kwa dada/wake zetu nashidwa kuelewa.Nguo nyingi wanazova sasa zinaonyesha mistari ya chupi.najiuliza ni naumbile? nguo za sasa zinashidwa kusitiri? au ni makusudi?

Si muda mrefu wataacha kabisa kuzivaa! Hivyo don't worry, utaacha kuiona kabisaaa!
 
wana jf.kuna hali naiona kwa dada/wake zetu nashidwa kuelewa.Nguo nyingi wanazova sasa zinaonyesha mistari ya chupi.najiuliza ni naumbile? nguo za sasa zinashidwa kusitiri? au ni makusudi?
kwa hiyo we kazi yako ni kuangali makalio tu.so mzima wewe
 
Back
Top Bottom