CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

Ccm inaweza kuhutubia watu 1000 na inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 70 lkn cdm inaweza kuhutubia watu 5000 lkn inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 3 tuu. Ukubwa wa kamasi sy wingi wa kamasi hata mjae vp ktk mikutano ya cdm lkn.hawana uwezo wa kutatua kero zao..

Maneno ya kukata tamaa hii
 
Hilo liko wazi hata magamba wanakiri japo kimo moyo " CHADEMA ni zaidi ya chama cha siasa, CHADEMA ni moto wa kuotea mbali" bali wameamua kujitoa ufahamu kwa mda.
 
Ni kweli hakika Matokeo ya Tanga yaliacha wengi mdomo wazi.Sehemu ambayo ni ngome kuu ya CCM Lakini Chadema inapitwa kwa kura 21 tu.

Kiongozi!

Muheza napajua sana. Nimefanya kazi za extension kule. Sikuamini nilipo soma kwamba pale Genge na Tingeni Wabondei wamebadilika na kuwachoka MAGAMBA kiasi kile!

Na kumbuka kwamba hapa Daftari la Wapiga kura halija boresha. Kuna kizazi ambacho kwa miaka karibu 5 kimesha fikia na kuvuka miaka 18. Ambacho hiki ndio chenye hasira zisizo zuilika kwa MAGAMBA.

Baada ya huu uchaguzi wa Madiwani, nilipita pale Muheza. Yaani MAGAMBA wanazomewa ile mbaya. Kiasi kwamba siku hizi wamezua mtindo wa kuweka sare zao kwenye mifuko ya RAMBO na kwenda kuvalia kwenye mikutano yao.

2015 nina hakika ni kifo cha MAGAMBA kiongozi. Hata waipake choo CHADEMA itaendelea kuwa mioyoni mwa waTanganyika.

Pinda akiona nyomi ya watu wakiitikia mikutano ya CHADEMA wakati yeye pamoja na kuwa Waziri Mkuu hata kijijini kwako anapokelewa na ndugu zake, anakosa amani kabisa. anajua cha moto watakipata.
 
Ccm inaweza kuhutubia watu 1000 na inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 70 lkn cdm inaweza kuhutubia watu 5000 lkn inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 3 tuu. Ukubwa wa kamasi sy wingi wa kamasi hata mjae vp ktk mikutano ya cdm lkn.hawana uwezo wa kutatua kero zao..

Pole sana,husaidiki na utakufa hvyohvyo
 
Sijaelewa hiyo hesabu ya kura. Yaani kura zote hizo halafu wamepata kata 6?
.....nikwamba kwenye kata walizo shinda CDM wameshinda kwa kura nyingi sana....na walizoshinda ccm wameshinda kwa margin ndogo sana ya kura(labda uchakachuzi)......tafsiri nyingine Waliposhinda CCM na CDM wanakubalika ....ila waliposhinda CDM ...CCM hawakubaliki.....na pia reflection ni kwamba kama ingekuwa uraisi CDM wangeshinda maana -wamewazidi CCM kwa popular vote...
 
hutakaa uelewe labda urudi shuleni. refer US election 2012-popular votes za Obama vs Romney

.....nikwamba kwenye kata walizo shinda CDM wameshinda kwa kura nyingi sana....na walizoshinda ccm wameshinda kwa margin ndogo sana ya kura(labda uchakachuzi)......tafsiri nyingine Waliposhinda CCM na CDM wanakubalika ....ila waliposhinda CDM ...CCM hawakubaliki.....na pia reflection ni kwamba kama ingekuwa uraisi CDM wangeshinda maana -wamewazidi CCM kwa popular vote...
 
Mtaua watu huko MAGAMBANI jamani. Yaani wanaona URAISI wanaukosa hivi hivi!! Ili mradi hata Tanga (Muheza) imetoa ushindani wa hali ya juu, licha ya kutendewe vitendo visivyo vya KIDEMOKRASIA! Nina amini 2015 MAGAMBA ni mweleka tu!
Arusha chadema wana kata Tano pamoja na kwamba hawajapiga kura kwa hiyo jumla ni 16 kwa 11
 
Kwani lwaitama naye bado wa kusikiliza mtu ambaye anvaa flana nyekundu ndani ya shati jeupe hata familia yake ishamshinda wote walishasambaratika halafu leo anaongea nini.
 
.....nikwamba kwenye kata walizo shinda CDM wameshinda kwa kura nyingi sana....na walizoshinda ccm wameshinda kwa margin ndogo sana ya kura(labda uchakachuzi)......tafsiri nyingine Waliposhinda CCM na CDM wanakubalika ....ila waliposhinda CDM ...CCM hawakubaliki.....na pia reflection ni kwamba kama ingekuwa uraisi CDM wangeshinda maana -wamewazidi CCM kwa popular vote...
Sasa hilo chadema limewasaidia nini au kwenye uchaguzi ujao mtaongezea na mlizopata awamu hii.
 
Ccm inaweza kuhutubia watu 1000 na inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 70 lkn cdm inaweza kuhutubia watu 5000 lkn inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 3 tuu. Ukubwa wa kamasi sy wingi wa kamasi hata mjae vp ktk mikutano ya cdm lkn.hawana uwezo wa kutatua kero zao..
wape mandate ya kukusanya kodi halafu ndio uje sasa na hiyo takwimu yako.. kama wameweza kutatua kero kwa asilimia 3 (takwimu zako) bila kukusanya kodi vipi wakianza kukusanya kodi?

Tahadhari kwa ccm.. kwa hali ilivyo sasa ni bora mkasitisha vitambulisho vya taifa na kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura maana hizo zitakuwa silaha za maangamizi dhidi yenu.., wengi wanaoshabikia mageuzi hawajajiandikisha kupiga kura, laiti kama wangepata fursa hiyo kabla ya hizi chaguzi ndogo ndio kingeeleweka.
 
Sasa hilo chadema limewasaidia nini au kwenye uchaguzi ujao mtaongezea na mlizopata awamu hii.
.....sijui kama umenielewa soma tena...its called projection poolls...na hizo zinalinganishwa 2010 na sasa hivi...then tuna project mbele....japokua its small sample....
 
CCM imebakia na vilaza tu km huyu aliyeruhusu Polisi kuuwa watu na yule aliyelidanganya bunge eti watu walizuia polis kukamata mtupaji bomu
 
kumbuka watu waliopiga kura ni wale waliokuwa wamejiandikisha kwenye uchaguzi uliopita .sasa hivi kuna watu watakao jiandikisha karibu idadi ya watanzania wote kazi wanao ccm.safari ipo .naomba wapanga virago mapema hii sio mchezo ni sunami.
 
Sasa hilo chadema limewasaidia nini au kwenye uchaguzi ujao mtaongezea na mlizopata awamu hii.

Ndugu chadema wanaongeza ccm wanapoteza.
Kikwete alishasema kura zinashuka kutoka 81%. To 61% sasa kwa tathimini ya kura za jumla kwa kata zote 26 nina uhakika cdm ni 71%
 
Ccm inaweza kuhutubia watu 1000 na inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 70 lkn cdm inaweza kuhutubia watu 5000 lkn inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 3 tuu. Ukubwa wa kamasi sy wingi wa kamasi hata mjae vp ktk mikutano ya cdm lkn.hawana uwezo wa kutatua kero zao..

Kweli....Ukubwa wa KAMASI SY WINGI WA KAMASI(ukilaza hadi kwenye semi.!) au Ulimi umekutereza?

um
 
Ccm inaweza kuhutubia watu 1000 na inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 70 lkn cdm inaweza kuhutubia watu 5000 lkn inauwezo wa kutatua kero zao kwa asilimia 3 tuu. Ukubwa wa kamasi sy wingi wa kamasi hata mjae vp ktk mikutano ya cdm lkn.hawana uwezo wa kutatua kero zao..

nazan wewe ni mbulula tena zaid ya mbulula....hivi unaweza kuchimba shimo la choo yako bila vifa kama jembe??? je, hawa chadema watatimiza kero za wanachi na hali si chama tawala? ngoja washike rungu 2015 uone maisha yako yatakavyokuwa bomba.....!!!
 
Back
Top Bottom