Recent content by mwasebason

  1. mwasebason

    Fursa: Anatafutwa mwalimu wa Physics na Mathematics

    Habari Mwalimu wa Physics na Mathematics anahitajika shule ya SANDY VALLEY iliyopo Kivule, Ilala - Dar es salaam. SIFA ZA MWALIMU 1.Awe na Umahiri wa kufundisha 2.Awe na Shahada ya Elimu katika masomo tajwa. Maombi yapelekwe shuleni kabla ya tarehe 05/05/2022 na Usahili utafanyika shuleni...
  2. mwasebason

    MSAADA NA USHAURI

    Habari Kuna kijana amepata nafasi ya kwenda kusoma India kupitia mpango wa serikali ya India "Study In India " (SII) ambapo amepata udhamini wa 100% tuition fee waiver analipiwa, lakini gharama zingine za kuongezea ni USD 2200 afanyeje maana ni ndoto yake kubwa sana kwenda kusoma nje ya nchi.
  3. mwasebason

    African Youth Union Commission (AYUC) Tanzania Chapter

    Hapana ndugu hii ni non_profit organisation hakuna malipo yoyote kujiunga ila utapata nafasi ya kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Bara letu kwa ujumla na vijana kutoka kila kona ya AFRICA
  4. mwasebason

    African Youth Union Commission (AYUC) Tanzania Chapter

    Hello JF Members! I hope this finds you well, Let me take this chance to introduce and welcome you to AFRICAN YOUTH UNION COMMISSION The stage is set for the restoration of the African dreamed, driven, engineered and powered by the Youths. In the pursuit of restoring the African Dreams...
  5. mwasebason

    Msaada jinsi ya kusajili na gharama za shortcode

    Habari wanaJF naulizia kwa wazoefu au wanaofahamu utaratibu wa kusajili na gharama za shortcode mf. 55576 kwa ajili ya kampuni, msaada kwa wenye uelewa huo.
  6. mwasebason

    Msaada ku-apply course za afya diploma

    Msaada wanajamvi nawezaje kuapply kozi za diploma za afya nimeona available slot kwenye website ya nacte lakini hakuna maelekezo yoyote
  7. mwasebason

    Jinsi ya kutengeneza Messenger App

    nim AppYet sio kwamba ni kwa ajili ya blogs sana au?
  8. mwasebason

    Jinsi ya kutengeneza Messenger App

    Kutengeneza Messenger App nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza messenger App ya kawaida tu
  9. mwasebason

    Msaada kutengenezaa app kwa bei nafuu

    Habari za muda wanajamvi, naomba msaada kutengeneza app kwa bei nafuu msaada nichek namba hii 0752497762
  10. mwasebason

    Waliochaguliwa SUA tukutane hapa

    jaman mm napenda kuuliza kuna yeyote aliyetumiwa email na sua kwaajili ya SUASIS
  11. mwasebason

    Joining instructions form five lini?

    Na mimi nisaidieni ya MAGU SEC
  12. mwasebason

    Waliochaguliwa magu

    nipe habari za huko Magu
  13. mwasebason

    hodi,wanajamii

    Helo i'm new here
Back
Top Bottom