MSAADA NA USHAURI

mwasebason

Member
Jul 11, 2013
16
2
Habari
Kuna kijana amepata nafasi ya kwenda kusoma India kupitia mpango wa serikali ya India "Study In India " (SII) ambapo amepata udhamini wa 100% tuition fee waiver analipiwa, lakini gharama zingine za kuongezea ni USD 2200 afanyeje maana ni ndoto yake kubwa sana kwenda kusoma nje ya nchi.
Screenshot_20190712-134720.jpeg
 
unaweza kujikuta unapoteza pesa nyingi alafu huko india anaenda chuo.cha kizembe tu , alafu unarud huku chuo chako hawakitambui au kinaonekana chuo duni kuwa india sio shida.
 
unaweza kujikuta unapoteza pesa nyingi alafu huko india anaenda chuo.cha kizembe tu , alafu unarud huku chuo chako hawakitambui au kinaonekana chuo duni kuwa india sio shida.
Acha wivu ametaka ushauri namna ya kupata huzo USD 2200 yaan almost 5M.
Wabongo tujaribu kuelewa kidogo.
 
Habari
Kuna kijana amepata nafasi ya kwenda kusoma India kupitia mpango wa serikali ya India "Study In India " (SII) ambapo amepata udhamini wa 100% tuition fee waiver analipiwa, lakini gharama zingine za kuongezea ni USD 2200 afanyeje maana ni ndoto yake kubwa sana kwenda kusoma nje ya nchi.View attachment 1153436
iv awa kalinga ni kweli ama mi nliisi wanataka kunipiga pesa
 
Back
Top Bottom