Mm nimeshafanya hilo dili hapa Chunya. Kwa namna moja kuna changamoto kadha wa kadha, wateja wa huku wanapenda sana kubebewa cement mpaka syt zao, faida ya mfuko mmoja wa cement mara nyingi ina range kutoka 800-1300.faida hii hupungua kwa sababu ya gharama za usafiri wa cement kwan madalari...
Mm nimehangaika sana na hilo tatizo nilipona kwa njia hii:
1.Unachoma nyoya la kuku la nyuma mkiani unajinusisha mara kadhaa.
2.chukua majani ya viazi vitamu yaan matembele kisha fikicha na uzibe puani,hiyo ndiyo mwisho wa hiyo hadithi.
Sasa unatakiwa kuweka wazi interest rate ya nmb.kwa msaada zaidi waweza chek ms word 2013 wamekuwekea kabisa pale amortization sheet.
Nb.kadri mda wa marejesho unavokuwa mrefu ndivyo unavopata gharama kubwa za marejesho
Nashukuru sana kwa ushauri.nina laptop na pia nina uwezo mzur wa kutumia microsoft word isipokuwa excel ndo tatizo..so nikaona ni vema walau nikipata mtu wa kunifundisha hiyo excel ili niwe namlipa walau masaa 2 tu kwa siku.
Ninahitaji kujifunza excel ordinaly na advanced.niko mbeya mjini,
kwa yule mwenye ujuzi au anayeweza kunipa maelekezo sehemu ya kupata ujuzi huo ndani ya wiki moja.pesa ya kulipia huduma ipo tayar.ushauri wenu wadau
Fanya yafuatayo
1.usipende kukaa ukiwa mwenyewe,yaan jichanganye
2.fanya sana mazoez
3.penda kujisomea hata katika mitandao madhara mbalimbali ya kupiga punyeto.
4.muombe mungu akuepushe na hilo.
Mimi mwenyewe nilikuwa fundi miaka ya 2001lakin hadi sasa sitamani hata kidogo unless otherwise stated.
hao nyoka hata huku kwetu chunya wako wengi sana..wanaitwa black mamba.wako katika rangi tatu yaani kijivu,darkblue na na goma jingine ni kama gamba la mti wa myombo.pia nyoka huyu ni mrefu sana na anauwezo wa kusimama zaidi ya urefu wa binadamu.
pia nyoka huyu hatembei usiku kwa kuwa anaogopa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.