Mafuta ya KY-Jelly: Ni yepi matumizi yake sahihi?

sidhani kama ni moja ya matumizi yake kuzuia magojwa ya STD,ila nachojua kuwa inatumika kama vaginal lubrication hasa kwa wamawake ambayo huwa na upungufu wa ute kutokana na labda wajawekwa tayari kwa game,au katumika sana muda huo,au ana upungufu wa estrogen hormone(inaenda na umri) na mengineo.

Kwa kuwa ni lubricate mabazazi/wachimba choo hutumia pia ktk shughuli zao.
Basi inaweza kutumika ktk namna nyingi hata ukitaka kuweka muonganiko wa Std na msuguano ok ila nadhani kwa
asilimia ndogo sana.
ni mafuta yanayotumika kulainisha sehemu zilizo wazi ili kufanya baadhi ya vipimo vya hospital kupita bila kumdhuru mgonjwa, mafuta haya hutumika pale dr anapotaka mfano kuchunguza uke kwa kutazama ndani kuna kifaa kinaitwa speculum au midomo ya bata ambapo dr hu rubilicate hicho kifaa then kuingiza ukeni,wakati wa vipimo mfano hsg-hysterosalpingogram examination,barium enema examination laryngoscope examination nk nk
ma baazazi wanatumia kwa mambo mengine lkn ni lubricant tu
Kamasutra ni kampuni inayotengeneza lubricant kwa ajiri ya sex
 
Kazi yake ni kulanisha uke wakat wa kufanya ngono wanawake wengine Uke unakuwa mkavu sana so kuepusha mchubuko ndo unapaka KY
 
Kwani ni lazima kutumia KY-JELLY. Unaweza kutumia hata Babycare, Rays au mafuta mengine ya Mgando ambayo siyo makavu sana.
 
Hutumika kwa kulainisha ili kurahisisha kuwekea mipira ya mkojo sehemu za haja ndogo
 
Leo ningependa tubadilishane uzoefu kuhusu KY Jelly maana imeleta msala kwa jamaa yangu.Ni hivi nilipita phamacy nikanunuwa KY nikapanda gari ya jamaa yangu ile jelly nikaiweka kwenye droo.

Na baada ya masanga mshikaji akanidrop home sikukumbuka mzigo wangu kuuchukuwa, sasa asubuhi mke wake kaikuta kwenye droo maswali yamekuwa mengi sana.

Sasa leo nitakwenda kwao na ningependa nijuwe yeye kwa upeo wake anadhani matumizi yake ni nini? Pia ningependa kujuwa kutoka kwenu mumeo au mkeo akinunuwa KY wewe utawaza nini?

Karibuni kwa mjadala

NB: Watu wenye stress za maisha thread hii haiwafai
kama ni bahati.mbaya pole ila Ulinunua ya nini???
 
Kwanini huyo mwanamke anawaka? ukiona hivyo ujue anaijua na matumizi yake anayajua pengine kashawahi kuitumia "aisifiaye mvua imemnyea" haiwezekani akomae hivyo kuulizauliza kama haifahamu kazi yake na kama hajawahi kutumia kama ni mimi kibao kingegeuka
Mkuu nani dunia hii haijui KY ? na je kila anaejua uwepo wa KY Basi anaitumia au ashawahi itumia ?
 
Back
Top Bottom