Recent content by mwaruhita

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mimi na mke wangu kitandani ni mzungu wa nne

    Muingize group mojawapo picha zitakapo ingia ataelewa
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ataniua jamani

    Nenda Duka la dawa kanunue dawa Moja inaitwa VEGA tumia utaona matokeo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ungepewa nafasi uchague

    Imeandikwa enyi waume wapendeni wake zenu. Na enyi wake watiini waume zenu. Kwa maoni yangu mpaka hapo imeshajulikana nani Wa kumpenda mwenziwe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuandika thread

    Mimi ni mgeni katika JF. Naomba mnielimishe namna ya kupost thread mpya humu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi sina bahati

    Mimi ninawasiwasi na ujuzi wake panapo sita kwa sita. Amechezwa unyago.?kama bado basis ajaribu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wadada wa kazi na visa vyao, nimemtimua wangu jana

    Nawaza mfano hizo nguo zingeenda kufuliwa kwa dobi. Hiyo pochi ndobi angeifanyia kazi. Nani angelaumiwa au angepigwa makofi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wangu

    Bora we we umekuwa muwazi. Wanawake waliowengu huo ndiyo msimamo japo ukweli huo wnaume walio wengi hapendi kuukubali. Viva a to to.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha Shule ya Mahusiano

    Unauzoefu gani katka ndoa. Na unaelimu gani katika maswala ya ndoa? Unaonaje uneweka wazi wasifu wako.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nilizaa nje ya ndoa, nitahalalishaje hili suala?

    Mwezeshe huyo nyumba ndogo yako ili awe na uwezo wa kumlea vizuri pasipo kukutegemea sana. Mbeleni huko ukweli utajipambanua bila kuumiza kichwa.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Moses Machali ajiondoa NCCR-Mageuzi na Kujiunga ACT-Wazalendo

    Amechoka kuwa mbunge
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimemchomea mke wangu kazini kuwa anatumia cheti feki

    Kitabu kitakatifu cha Mungu kinasema mtuakikukosea, msamehe saba Mara sabini. Vile vile samehe upate kusamehewa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yani wanaume jamani

    Kwa nini hasemi katendwaje. Anatuachia kitendawili. Tega. Ngumu kutegua afunguke.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Kikwete kuliaga Bunge - 09, Julai 2015

    Katika hotuba yake anasema atalivunja rasmi tarehe 20/7/2015. Kisichoeleka nini hapo.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi jamani kwanini wanawake hamna mapenzi ya kweli?

    Nikutadharishe kwamba hakuna malaika. Piga chini huyo unapata mwingine the same. Au zaidi kuliko Wa mwanzo.
Back
Top Bottom