Yani wanaume jamani

Yani wanaume jamani

Ningekuwa na uwezo Leo ningekamata kumbe yeyote mwenye viungo vya uzazi ningepeleka Uwanja wa Taifa ningechapa fimbo za makalioni ningechapa, nawanyoa nywele na nyusi zote na chupa, nawaweka juani then nachukua koleo nang'oa meno mawili ya mbele yale hapa, halafu namlaza kwenye cement juani mpaka jua likuche.

Then usiku namuingiza kwenye maji ya barafu akitoka nampa juisi ya pilipili kichaa hafu kesho asubuh nawaachie mrudi makwenu yani huyu kiumbe mme ameniuzi sana sana.

Shikamoo nyie wanaume hivi sijui manakuaga na akili gani halafu kujifanya kila kitu mnajua wakati hamna lolote.

badilisha hapa weka vizuri umetukosea adabu hapa...!!!!
 
Unazungumzia wanaume watanzania au wa kule kwenu? Manake sisi wa Tanzania hatuna shida kabisa.
 
Hahaaa ndagha kaka,hapo umenifikisha kaka usisahau mafufu

Sasa hapo utanenepeana utamboa shemeji yangu akukimbie na wewe ulete mihasira yako humu. Wewe nakupeleka pale royal zambezi tukapige gym
 
Mwanamke na ajifunze kwa mme wake, mwanaume ndyo kichwa cha nyumba
 
hivi kuna wanawake bado wanasumbuliwa akili na wanaume, mkuje huku niwape tuition ya men 101. yaani mwenzenu mie mwanaume hanibabaishi hata nukta! akianza uongo wake na longolongo lake nam-block kila kona ya dunia!
 
Si ulisema unampenda sana japo hayupo romantiki, leo imekuwaje tena mpaka unataka "kumuulimboka" kweupeeeeeeee?
Tujiunge na hansard ya JF hapa chini
i nid my husband to be romantic what should i do,nimejaribu kwa vitendo naona mwenzangu ka haelewi...hata tunapokuwa faragha inaonekana ka mwenzangu anaona aibu...kusema i lov its like mwaka mzima sijasikia...hata ukimuuliza unanipenda utasikia eeh...ndo mana niko na wewe mi sipendi hivyo nifanyeje hamna jarida nikampe asome...yani sielewi sio siri inaninyima raha...although smtimes anaonyesha anajali lkn sio km vile mtu anvyotakiwa afany kwa mpenz wake.....plzzzzz na mi nampenda sana my husband...
 
Back
Top Bottom