Msimamo wangu

Msimamo wangu

Yaani kusafiri kwa mke wangu leo kunanipa fursa ya kuona wanawake wenye jeuri...aysee mnatoa wapi ujasiri huu
Kwahyo mkeo ndo huwa anakunyima Ku peruzi jf leo hayupo ndo umetobozea huku
It seems kashakuweka Sawa hufurukuti eeh.
Sifa Ku ya mwanamke ni ujasiri na kujiamini tu money first.
 
Diva Beyonce mke wangu haninyimi hata iweje isipokuwa muda wa kuingia huku huwa nakosa coz time kama hizi huwa tukipeana haki zetu za msingi kwenye ndoa
 
mmmmh!! I wish i wud understood wht you wrote.

Wewe ndio unatakiwa uelewe unachokiandika.
Ok sio mbaya kwa sababu umesema ni msimamo wako na sio sheria ya wanawake wote.. Kila la kheri
 
Diva Beyonce mke wangu haninyimi hata iweje isipokuwa muda wa kuingia huku huwa nakosa coz time kama hizi huwa tukipeana haki zetu za msingi kwenye ndoa
Anakunyima kabisa kakutia kwenye kipochi manyoya hufurukuti mnapeana haki kila siku kwa nguvu gani uliyo nayo zaidi ya chips yai.
Mkeo una muogopa wewe.
 
huo sio msimamo... hapo ni kujidanganya tu, labda upate under age ndo utamtreat hivyo!!!!
Huh ni msimamo makini kabisa bila kupepesa macho usio tetereka. Sio under age mi ni above age kabisa sembuse under age.
 
Anakunyima kabisa kakutia kwenye kipochi manyoya hufurukuti mnapeana haki kila siku kwa nguvu gani uliyo nayo zaidi ya chips yai.
Mkeo una muogopa wewe.

Ok sio tatizo lako tatizo haupo kwenye ndoa ungejua ninachozungumza..,haki ya ndoa sio tendo la ndoa pekee hata kuwa pamoja kwa majukumu madogo madogo ni zaidi ya jukumu la ndoa.
Ukiolewa utajua
 
Na mimi nasema...

MSIMAMO WANGU: sikuoi utabaki kua mchepuko wangu daima...!
 
Hahahaaaa!!! Mchepuko daima!! I love that, maana michepuko hufaidi zaidi ya njia kuu, tena ndio huzimiliki pesa vizuri, basi sawa hakuna tatizo.
 
Wewe ndio unatakiwa uelewe unachokiandika.
Ok sio mbaya kwa sababu umesema ni msimamo wako na sio sheria ya wanawake wote.. Kila la kheri

Duuuuh!! Nilichokiandika kiko wazi kabisaaa na ninakielewa mnoooo, so walaa kisikupanikishe.
 
Duh....mi kawaida yangu nakupa unachotaka nikishakugegeda tu,,haunioni tena mazafanta....
 
MSIMAMO WANGU

1. Changu ni changu, cha mume/mpenzi wangu tunashea.

2. Mwanaume bahili akae mbali na mimi.

3. Sina huruma na pesa ya mwanaume, labda atakaekuwa mume wangu wa ndoa.

4. Ntafanya majukumu yote kama mpenzi/mke wake, lakini when it comes to my money asahau, imeandikwa "mwanamke atazaa kwa uchungu na mwanaume atakula kwa jasho" so let him provide.

5. Ni marufuku mambo ya joints a/c eti mmoja wetu anaweza kutoa pesa pasipo saini ya mwingine sitaki.

6. Pesa zangu ni zangu ata password cmpi, bora nimpe Mama angu ata nikifa ajifutie nazo machozi.

7. Hata kama nina pesa kuliko yeye, mwanaume ni lazima awajibike, sio pesa ake awanufaishe wengine, maana kuna wanaume ndani wabahili ila nje wanahonga balaa.

8. Nyumba tutasaidiana kujenga, na itakuwa na jina langu na lake, au kama tutakuwa na watoto nao tutawaweka humo.

9. Ni marufuku ndugu wa mume kujihusisha na mali zetu, narudia tena ni marufuku ndugu wa mume kujisogeza karibu na mali zangu mm na mume wangu! Hizi haziwahusu kabisa tena mkae mbali.

NIMEMALIZA

wewe dawa yako ni 1, nakusubili ukiwa na mimba tu. Hafu nikishakugundua kama una roho ya hivo, ni mimba kila mwaka.

Rejea maandiko, baba atawaacha wazazi wake ataungana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.
ukiolewa unajenga mji na mumewako, kumbuka hata ukiwa na kipato kizuri Mme wako amechangia ukipate. kuna muda ambao atasimamia majukumu Fulani wewe ufanye shughuli zako. ukisema chako ni chako cha kwake cha wote unakosea. Hapo hakuna Ndoa.

conclusion: Wewe ni mbinafsi MTU mwenye mawazo mafupi. unayefikiria hatua 2 badala ya hatua 1000 mbele. Kama unaona bora kumsaidia mama yako ajifutie jasho hela zako Kwa nini uolewe si bora ukae naye tu uone raha yake.
 
Teh teh!! Hayohayo maandiko ndiyo yaliyosema wewe utakula kwa jasho so walaa usitafute excuse, mie ni msaidizi tu wa kukusaidia kuzitumia hizo pesa zetu, mimba haina shida maana ndio jukumu langu, hivi wakati unanimimba kila mwaka unakuwa unanikomoa eti au hao watoto utakaowazaa rundo!!!! Nami uzazi wa mpango siujui nakumanulia tuuu uzipachike hizo mimba kila mwaka eti??
Ushasema "imeandikwa" ndio maana nikaolewa,ila pesa zangu kaa nazo mbali maana haukuhusu ila zako aisee zinanihusu 900%.
 
kaaa ukijua kuna wanaume, ambao uzazi Wa mpango haushiki ng'oo. watoto msululu. Nahisi hujaolewa ukiolea tu mawazi hayo wishney.
 
If thats the case, kwa mawazo yako kwahiyo utazaa watoto wangapi kwa kumkomoa mama yao?? And kumbuka hao watoto wote ni jukumu lako.
 
Bora we we umekuwa muwazi. Wanawake waliowengu huo ndiyo msimamo japo ukweli huo wnaume walio wengi hapendi kuukubali. Viva a to to.
 
Back
Top Bottom