cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 28,671
- 78,182
Ulifanya vibaya ungekuwa unampenda kiukweli ungemwambia muongelee ukajaribu nje
Hii kitu ni unalo, mie hata ndoa ingekwisha kabisa. Fikiria asingezaa je na mbegu kumbe unamwaga kwa wengine? Mengi ulioandika kwa kujitetea hatskuamini na milele ndio hivyo.
Mruhusu jae akajaribu kuonjwa ujisikie raha. Matatizo ya uzazi uwauma wanawake sana tena sana hata akionyesha yupo poa ogopa donda hiloo bayaaaaaa. Tabia mbaya wewe na haumpendi ile kabisaaaaaaaaa