Recent content by mwaride

  1. mwaride

    JamiiForums Tanzania Pata microntroller yako ufanye ubunifu wa kisasa

    Naomba nigusie kidogo kuhusiana na aina za data pindi unapoandika program za mcu. Pia nitagusia operators na alama zinavotumika wakati wa programming. AINA za data (DATA TYPES). Kumbuka AVR mcu ni 8 bit, na pia ina flash na RAM kidogo sana, lakini ukiioptimize aina za data unaweza kuandika...
  2. mwaride

    JamiiForums Tanzania Pata microntroller yako ufanye ubunifu wa kisasa

    Updates: Utangulizi kuhusu microcontroller. MicroController Ni ic (intergrated circuit) ambayo ni sawa na kompyuta yenye vifaa vyote (ram, program storage/flash, usart, etc) ndani yake. Tofauti yake na kompyuta kamili Ni kuwa microntroller (mcu) huwa na uwezo mdogo wa kuprosesi mambo...
  3. mwaride

    JamiiForums Tanzania Pata microntroller yako ufanye ubunifu wa kisasa

    Yes njoo pm tuongee
  4. mwaride

    JamiiForums Tanzania Pata microntroller yako ufanye ubunifu wa kisasa

    0629052463
  5. mwaride

    JamiiForums Tanzania Nauza microntrollers development kits

    Wakuu Habari za huku? ni wazi kuwa upatikanaji wa microcontroller Ni changamoto hasa kwa wanafunzi na hobysist wanaotaka kuautomate vitu/shughuli mbalimbali! Lakini sasa ondoa shaka kwani Sasa ni kuprogram avr NINAIMPORT AVR MICRONTROLLERS, programmers na other electronics chips and components...
  6. mwaride

    JamiiForums Tanzania Pata microntroller yako ufanye ubunifu wa kisasa

    Wakuu Habari za huku? ni wazi kuwa upatikanaji wa microcontroller Ni changamoto hasa kwa wanafunzi na hobysist wanaotaka kuautomate vitu/shughuli mbalimbali! Lakini sasa ondoa shaka kwani Sasa ni kuprogram avr NINAIMPORT AVR MICRONTROLLERS, programmers na other electronics chips and components...
  7. mwaride

    JamiiForums Tanzania Samia: Tutaongeza ajira milioni moja

    Nilimaanisha badala ya kukebei kuwa ni ajira za " kuokota makopo" tungeuliza ni namna gani hizo ajira 1000k zitapatikana? Ili kama taifa tusonge mbele tunahitaji watu walio positive! Let us argue in a critical way to build our nation!
  8. mwaride

    JamiiForums Tanzania Samia: Tutaongeza ajira milioni moja

    Nadhan nadhani umefika wakala watanzania tuache kuwa too negative kwa kila jambo linalopangwa kufanywa kwa ajili ya nchi maana tutaonekana hatuna maana. Kipindi cha JK tuliponda, sasa tunaponda tena pamoja na awamu hii kuonesha matumaini lakini tumekuwa kama gunia. Tuache ushabiki usio na...
  9. mwaride

    JamiiForums Tanzania Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

    mmmmmmh, contradicting ^^
  10. mwaride

    JamiiForums Tanzania Dr. Kapiteni wa TMJ Hospital ni hatari kwa wagonjwa wa kike

    kwikwikwiiiiii
  11. mwaride

    JamiiForums Tanzania Kuongeza urefu wa uume

    teh teh teh teh
  12. mwaride

    JamiiForums Tanzania Ipi njia bora ya kujifungua kati ya operation na kawaida?

    Sawa bibie Princess sayuni
  13. mwaride

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Maendeleo ya Kenya yanaonekana magumu

    Word :-)
  14. mwaride

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa Kisukuma tunajua kupenda

    Mkuu Tyta naomba ufukunyue threads walizojiandikia wasukuma kujipigia debe, tujue zimefika ngapi!.
Back
Top Bottom