Peter Msigwa: Maendeleo ya Kenya yanaonekana magumu

Peter Msigwa: Maendeleo ya Kenya yanaonekana magumu

Hayo mabadiliko tunampa nani? CHADEMA hakuna, CUF hakuna. UKAWA ni nini? Mtatumia muda mwingi kuraruana mapaka mje muwe stable watanzania tumeumia. HATUDANGANYIKI.

CCM ndo kabisaaaaaa hakuna. bora hawa ambao hatujawapa urais.
 
Umesema kweli kabisa msigwa, swali kama sio ccm nani mwingine?
Mmeshindwa kujenga vyama vyenu vikawa vyama vya kitaifa kimuonekano nani atawaamini?
Yanayofanyika ccm mengi mno kwenu mnayafanya mnadhani wananchi hatuoni?
Ubaguzi, ukanda, udini, uchu wa madaraka kwenye vyama vyenu ndio usiseme,
Ndio maana wananchi wanaona bora uendelee kubaki na kichaa uliyemzoea, CCM kuliko kuleta kichaa mpya, UPINZANI

tunahitaji kutembea na tochi mchana bado kuna watu wako gizani. CCM imechokwa, imedhoofu, imekonda haina dira.
 
Nakubaliana na wewe. Yatupaswa tuangalie hili kwanza lakini uadilifu kabla.

Lakini tusisahau, mtu kuwa CCM haimaanishi kuwa ni mtu mbaya,asiyefaa, na pia mtu kuwa Chadema haimaanishi kuwa ni mtu safi, anayefaa.hapana!! watu wazuri wapo vyama vyote na watu wabaya pia wapo vyama vyote.Tusijifunge kwenye vyama vyetu kuchagua kiongozi bora.Tuwaangalie wote, tuwapime wote,kisha tuchague aliye bora zaidi miongoni mwao.

Nakubaliana nawe kwa upande mmoja, lakini kwa upande mwingine ninatofautiana nawe.

Tatizo la chama tawala si mtu binafsi bali ni mfumo. Chama kimekuwa coined kwenye mfumo ambao humtumikisha yeyote yule apewaye madaraka. Kwa namna nyingine ni vigumu mno kupata mwana mapinduzi mwenye uthubutu wa kuufumua mfumo wa kifisadi uliojengwa madhubuti ndani ya serikali ya CCM.
 
Word 🙂
 
Asije akakudanganya mtu.Hii ipo kwenye vyama vyote.Ndio maana inabidi tuangalie zaidi mtu kuliko chama.
 
that is cheap politics,both of them hakuna mwenye mpango wa kugombea ubunge mbona mnawashwa?si mtulie dawa iingie vizuri?mkisikia jina lowasa basi mnakuwa machizi,mbona ndo movie imeanza nyie subirini ni kesho kutwa tu muanze kuongea vizuri

Waziri wa sheria na Fedha waligombea majimbo gani?
 
Leo hii anasema Tanzania nzuri kuliko nchi zote za Africa!
 
Back
Top Bottom