Samia: Tutaongeza ajira milioni moja

Samia: Tutaongeza ajira milioni moja

Mmeanza kutudandanya yale yale ya Mhe. Jk aliahidi hizo hizo million moja na hata nusu hakufika.
 
Kama jk aliweza,hata magufuli anaweza.
Hao bodaboda kama sio jk kuruhusi pikipiki zibebe abiria saa hii tungekuwa tunaongea mengine kabisa.
 
Millioni moja kwa mipango ipi ya kushutukiza acha hizo mambo. Viwanda vyenyewe wameisha retreat alafu ajira milioni wazitoe wapi.

Nyie ndio msiojielewa.Nakumbuka humu humu Jamii forums kuna mtu alibeza.Akasema bajeti imeshapitishwa tayari akamkebehi sana Magufuli kuwa katika ile bajeti hamna sehemu yenye hela ya Elimu bure ataitoa wapi ghafla.Akakebehi akijitia eti yeye mchumi anajua!!!!!! Ghafla Magufuli katumbua mijipu pesa hiyooooo.Kafuta safari za nje pesa hiyooooo!! Nyie wasomi koko tulieni magufuli namba ingine
 
Nadharia zako kwa Tz hazihusiki
Tunauzoefu wakati JK alipotoa tathimini ya ahadi yake ya ajira milionl moja,waziri wake alitaja mpaka uokotaji wa chupa na "kazi" lukuki zisizo za staha. Ukiimanisha hizo unatutusi Watanzania na ni
UPUUZI MTUPU
Hizo za chupa inategemea nani anazifanya. Hivi kweli mkuu uwe una bachelor yoyote ila creativity yako itakuwa kuokota chupa na si wewe kuwa mwajili wa muokota chupa? Sijui kwanini umeziita ajira zisizo na staha! Nisingependa tuangalie kazi zingine zinastaha, zingine hazina staha ila tuangalie mimi naweza kufanya nini na siwezi kufanya nini na kwa nini siwezi kufanya nini.
Kuokota chupa kila mtu akiwa na mtazamo wa "ajira zisizo na staha" dhahiri tutakwama kwenye uchafuzi wa mazingira.
 
Nadhan
nadhani umefika wakala watanzania tuache kuwa too negative kwa kila jambo linalopangwa kufanywa kwa ajili ya nchi maana tutaonekana hatuna maana. Kipindi cha JK tuliponda, sasa tunaponda tena pamoja na awamu hii kuonesha matumaini lakini tumekuwa kama gunia. Tuache ushabiki usio na maana, tuwape matumaini awamu ya tano watimize vyema mipango walioanza kuifanyia kazi. TZ Kwanzaa, vyama baadae!!!
wanaoponda awamu ya nne ni hawa viongozi wa awamu ya tano sisi wananchi wa kawaida tunaangalia tu,mambo yanavyokwenda na hata vyama vya upinzani wao wanaangalia tu,wapondaji wakubwa ni hawahawa viongozi wa awamu ya tano au wewe ulioni hilo?
 
Hizo za chupa inategemea nani anazifanya. Hivi kweli mkuu uwe una bachelor yoyote ila creativity yako itakuwa kuokota chupa na si wewe kuwa mwajili wa muokota chupa? Sijui kwanini umeziita ajira zisizo na staha! Nisingependa tuangalie kazi zingine zinastaha, zingine hazina staha ila tuangalie mimi naweza kufanya nini na siwezi kufanya nini na kwa nini siwezi kufanya nini.
Kuokota chupa kila mtu akiwa na mtazamo wa "ajira zisizo na staha" dhahiri tutakwama kwenye uchafuzi wa mazingira.
Mkuu ajira zisizo na staha iwe ni ajali ya maisha tuu sio mpango uliooangwa na watu tunaowalipa mamilioni huku wakituibia
Marekani sidhani akiingia 'pusher' mpya wanahesabu ajira imeongezeka
 
Nilimaanisha badala ya kukebei kuwa ni ajira za " kuokota makopo" tungeuliza ni namna gani hizo ajira 1000k zitapatikana? Ili kama taifa tusonge mbele tunahitaji watu walio positive! Let us argue in a critical way to build our nation!
 
Hizo za chupa inategemea nani anazifanya. Hivi kweli mkuu uwe una bachelor yoyote ila creativity yako itakuwa kuokota chupa na si wewe kuwa mwajili wa muokota chupa? Sijui kwanini umeziita ajira zisizo na staha! Nisingependa tuangalie kazi zingine zinastaha, zingine hazina staha ila tuangalie mimi naweza kufanya nini na siwezi kufanya nini na kwa nini siwezi kufanya nini.
Kuokota chupa kila mtu akiwa na mtazamo wa "ajira zisizo na staha" dhahiri tutakwama kwenye uchafuzi wa mazingira.
Sikubaliani wala kuamini hizi ngonjera za magambas. Huyu mama atupe milioni zetu 50 kwanza kwa kila kijiji kabla ya kutuambia paukwa pakawa za ajira milioni 1!
Lakini ninatofautiana na wewe kuhusu 'kuokota chupa'. Mwenye bachelor degree ya BA anaweza kuwa mbunifu kwa kuanzisha ka-kampuni ka kukusanya chupa katika mtaa wake au eneo lake. Yeye anakuwa meneja na kutengeneza kituo cha kupokelea chupa. Anaajiri vijana watano au kumi kulingana na upatikanaji wa chupa. Wakusanyaji wanakuwa ni wale wahitimu wa St. Katas. Kila mmoja anapatiapo. Baadaye anaweza kuungana na mwenye degrii ya uhandisi BEng na wakabuni kiwanda kidogo cha ku-recycle au ku-reuse hizo chupa, nk.
 
Back
Top Bottom