singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
nadhani umefika wakala watanzania tuache kuwa too negative kwa kila jambo linalopangwa kufanywa kwa ajili ya nchi maana tutaonekana hatuna maana. Kipindi cha JK tuliponda, sasa tunaponda tena pamoja na awamu hii kuonesha matumaini lakini tumekuwa kama gunia. Tuache ushabiki usio na maana, tuwape matumaini awamu ya tano watimize vyema mipango walioanza kuifanyia kazi. TZ Kwanzaa, vyama baadae!!!Labda za kuokota makopo, kuna teja mwanangu jana alikuwa ananihadisia kuwa ukiokota makopo kilo moja ni sh150.
Millioni moja kwa mipango ipi ya kushutukiza acha hizo mambo. Viwanda vyenyewe wameisha retreat alafu ajira milioni wazitoe wapi.Nadhan
nadhani umefika wakala watanzania tuache kuwa too negative kwa kila jambo linalopangwa kufanywa kwa ajili ya nchi maana tutaonekana hatuna maana. Kipindi cha JK tuliponda, sasa tunaponda tena pamoja na awamu hii kuonesha matumaini lakini tumekuwa kama gunia. Tuache ushabiki usio na maana, tuwape matumaini awamu ya tano watimize vyema mipango walioanza kuifanyia kazi. TZ Kwanzaa, vyama baadae!!!
Sawa... Kwa hio tuwasifie ? Kwa lipi? Hio ahadinya ajira milioni moja JK si aliiahidi?Nadhan
nadhani umefika wakala watanzania tuache kuwa too negative kwa kila jambo linalopangwa kufanywa kwa ajili ya nchi maana tutaonekana hatuna maana. Kipindi cha JK tuliponda, sasa tunaponda tena pamoja na awamu hii kuonesha matumaini lakini tumekuwa kama gunia. Tuache ushabiki usio na maana, tuwape matumaini awamu ya tano watimize vyema mipango walioanza kuifanyia kazi. TZ Kwanzaa, vyama baadae!!!
uku kwetu Nanjilinji wametoa laki 1 zingine tumeambiwa tusubiriMilioni 50 kila kijiji wamesha anza kutoa?
Mmeumia tayari , hamna hela tena....subirini kampeni zijazo mtapewa ahadi ya mil 100.uku kwetu Nanjilinji wametoa laki 1 zingine tumeambiwa tusubiri
Hili jukwaa ni la great thinker watu wanauliza kuna mipango ipi ya ajira milioni moja ?? Rais aliahid viwanda juz kasema ,naombeni sekta binafsi muanzishe viwanda .......inamaana kajitoa.....nchi nyingi zinapotoa kauli ya kuboresha upatikanaji wa ajira hawasemi tu wanakuja na mipango...ila ajira za kuokota makopo zipo....Nadhan
nadhani umefika wakala watanzania tuache kuwa too negative kwa kila jambo linalopangwa kufanywa kwa ajili ya nchi maana tutaonekana hatuna maana. Kipindi cha JK tuliponda, sasa tunaponda tena pamoja na awamu hii kuonesha matumaini lakini tumekuwa kama gunia. Tuache ushabiki usio na maana, tuwape matumaini awamu ya tano watimize vyema mipango walioanza kuifanyia kazi. TZ Kwanzaa, vyama baadae!!!
Nadhan

Sio kila kitu cha kusifia ni bora kuwa mkweli na muhusika akajifunza kuliko kuwa mnafiki kwa kufumbia ahadi impossible au changa la macho. Hii tabia ya kusifia na kuwa mnafiki ni ccm na makada wao ndio wanaongoza.Nadhan
nadhani umefika wakala watanzania tuache kuwa too negative kwa kila jambo linalopangwa kufanywa kwa ajili ya nchi maana tutaonekana hatuna maana. Kipindi cha JK tuliponda, sasa tunaponda tena pamoja na awamu hii kuonesha matumaini lakini tumekuwa kama gunia. Tuache ushabiki usio na maana, tuwape matumaini awamu ya tano watimize vyema mipango walioanza kuifanyia kazi. TZ Kwanzaa, vyama baadae!!!
Tatizo hamjachukua muda kutafakari. Ziliposemwa ajira milioni moja, moja kwa moja watu mawazo yao yakagonga kwenye ajira rasmi. Hapo ndipo mnashindwa kuelewana. Nadhani hakulenga ajira rasmi tu. Unaposema "ajira" hiyo ni "broad term" ndani yake kuna ajira rasmi na zisizo rasmi. Hizo watu walizokimbilia kimtazamo kuona haiwezekani ni ajira rasmi ndo maana comment zimeegemea viwanda na vitu vingine km hivyo.Ajira millioni moja? teh..teh
Mwezi uliopita Marekani taifa lenye kila aina ya viwanda na biashara limejisifu kwa kuongeza ajira 225000. Sisi kwa kiwanda cha bia na Coke tutaongeza millioni
Upuuzi mtupu
Kila mwaka vijana million moja wanaingia solo la ajira sasa Mara miaka mitano
Ni lile bomu alosema Lowassa
teh teh teh teh hiyo ndiyo CCM banaMmeumia tayari , hamna hela tena....subirini kampeni zijazo mtapewa ahadi ya mil 100.
ajira million tano za jk?! bora hizi million moja, ila kwa mikakati ipi?Nadhan
nadhani umefika wakala watanzania tuache kuwa too negative kwa kila jambo linalopangwa kufanywa kwa ajili ya nchi maana tutaonekana hatuna maana. Kipindi cha JK tuliponda, sasa tunaponda tena pamoja na awamu hii kuonesha matumaini lakini tumekuwa kama gunia. Tuache ushabiki usio na maana, tuwape matumaini awamu ya tano watimize vyema mipango walioanza kuifanyia kazi. TZ Kwanzaa, vyama baadae!!!
kweli si ndo huyu kwenye kampeni alisema ataanzisha kilimo cha kumwagilia ubuyu dom.. daaaah!!Labda kilimo cha kumwagilia "Ubuyu" Dodoma by Samiah Hassan (2015)