Recent content by Mwankole

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu mama mwanae akidondoka atamlaumu nani? Hatari!

    kwa uchungu utazaa (Mwanamke) na kwa jasho utakula (Mwanaume), it was a fair judgement.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mchepuko sasa kuwa njia yangu kuu

    kwahiyo umekuja hapa kujisifu kwa kucheat? ama kweli wewe ni hamnazo kabisa.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Edward Moringe Sokoine 1938-1984 | Historia na wasifu wake

    R.I.P EM Sokoine! daima tutakukumbuka kwa wema wako.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga Mwenge maeneo ya TRA zipo karibuni

    vip nyumba hizo zinafaa kuwa ofisi? au ndo zile za uswazi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Nehemia Mchechu wa NHC ni USD 19,000 kwa mwezi

    Wabongo bhana mna shida! mbona hamhoji mshahara wa vasco da gama wa TZ na ufujaji wa fedha kwa kisingizio cha kutafuta misaada.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zamaradi acha makelele, hamuwezi ku-control kila kitu

    the whole concept ya "take one" ilikuwa ni ya irene paul, na kama mtakumbuka wakati mawingu tv inaanzishwa wakatangaza kuwa maproducer na wenye idea wazipeleke ili zikafanyiwe mchujo, Irene ndo akaioeleka hiyo concept na alirekodi vipindi kadhaa, as you know wasanii wetu walivyo mambumbumbu wala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tamthilia hii yatwaa tuzo 3 mfululizo bara ASIA

    be careful with my heart is the best soap opera? bila shaka mwandishi wa hii thread huzijui best soap opera. what abt hizi "The Promise", "It Might be You", "The Long Wait", "Mara Clara" etc
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tamthilia hii yatwaa tuzo 3 mfululizo bara ASIA

    source ya tarifa yako please!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hawa CRDB bank ni bure kabisa

    ndo majib yenu, huyo mtu anayewafunza customer care ni hovyo kabisa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zamaradi acha makelele, hamuwezi ku-control kila kitu

    ndio shida ya kuwa na mapresenter madivishen 5, usitegemee analysis ya kisomi toka kwa Zamaradi Mketema.yeye ni bendera fuata upepo angalia hata show yake ya "TAKE ONE" ilivyo ya kimbea mbea, wanaJF hii show ya TAKE ONE Zamaradi na bwana yake RUGE walimwibia IRENE PAUL.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hawa CRDB bank ni bure kabisa

    bora wewe ulifanya maamuzi sahihi, itabidna mimi nikawashawishi board of directors tufunge account zetu, bora hata KCB Bank au Bank ya Posta.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hawa CRDB bank ni bure kabisa

    sasa kama wana mtaji huo ni kwanini washindwe kuwa na network stable, wanategemea network za kimagumash? walah hawa CRDB wameniudhi kwa muda mrefu saaaaaana.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hawa CRDB bank ni bure kabisa

    inasemekana kuwa CRDB BANK ndio benki yenye mtaji mkubwa kuliko benki zote za kitanzania (1...BILLION USD) cha kushangaza ndio benki yenye network mbovu sijawahi ona hapa TZ, kwa mfano mara kadhaa nimekwama kufanya transaction kwenye branch zifuatazo Mikocheni, Mbezi Mwisho, Lumumba, Millenium...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    Muhongo anastahili kunyongwa, huwez kuwa kiongozi wa umma halafu unakatisha tamaa wananchi wako kuwekeza kwenye maliasili zao na kuwakumbatia MAFISADI. time will tell
  15. M

    JamiiForums Tanzania Namuhurumia sana msichana huyu but nashindwa kumsaidia

    wasichana ni ving'ang'anizi sana kama kupe, wana tabia ya kujiaminisha kuwa BF ndio mume, hata mim walinisumbua sana lkn nilowashinda kwa jina la yesu. Pole mkuu kwa maswahibu yaliyokupata, cha msingi mtafutie mtaji umpatie then kaa nae mbali.
Back
Top Bottom