crdb niliwahama kitambo , nimejipumnzisha posta bank
tupo kwenye soko huria. hama tu!sasa kama wana mtaji huo ni kwanini washindwe kuwa na network stable, wanategemea network za kimagumash? walah hawa CRDB wameniudhi kwa muda mrefu saaaaaana.
tupo kwenye soko huria. hama tu!
Concur wit yu broda. Can withdro a billion plus madafu keshi bila kwere. Ha ha haaa!
only if i were one of them.....ndo majib yenu, huyo mtu anayewafunza customer care ni hovyo kabisa