Recent content by Mwanjagwalelu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanachama 500 wa CCM na diwani mmoja Muleba wahamia CHADEMA

    Na wafe tu sisi tumechoka na hakuna namna nyingine,wakiambiwa wajirekebishe hizo tabia zao MBAYA hawataki,dawa ni wacha wafe....
  2. M

    JamiiForums Tanzania CCM yatangaza kurudia majimbo 5 kura za maoni

    Acha uongo na wale tulio waona wanalalamikia uchakachuaji ni akina nani,zile kadi feki mia nne zilizoongeza kura za Nepi zilitoka wapi?watz hawadanganyiki mwaka huu,jiandaeni kisaikolojia kuwa wapinzani tu mwakani.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Lowassa na CHADEMA, hawajui wanafuata nini

    Na nyumbu ni binadamu,hilo siyo tusi?nyani haoni ku..nd..ule.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Nanyi mnashida,kumbe bado munasikiliza radio hiyo ya akina kirikuu?poleni mtapata ugonjwa wa moyo bure.
  5. M

    JamiiForums Tanzania CCM yawaita watanzania ni VIBAKA?

    Kumbe ni pamoja na wewe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM yawaita watanzania ni VIBAKA?

    Kula tano mukuu....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: CCM tumejenga Shule za Kata

    Na bado tutasikia mengi mwaka huu,mkolezo wa hasira kwa wananchi dhidi ya ccm.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mnaoipenda CCM Nisikilizeni kwa makini sana

    Ndiyo makini sana hasa kwa wizi na ufisadi tajwa ,hongera ccm.
  9. M

    JamiiForums Tanzania WanaCCM tupaze sauti zetu hali ni ngumu huku mtaani

    Kuti la mazoea laenda kumdondosha mgema sasa tusubiri.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

    Kula tano,umeongea kwa hasira kweli kweli.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nape atoa siri ya kujiuzulu kwa wanaojiita CCM

    Mnalo hilo mwaka huu limewagandajeeeeee
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kweli CCM Tunachukiwa!

    Laiser Tom Muulize Naoe kwa nini mnachukiwa na kila mtu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli kupiga mbizi Kigamboni kuomba kura mwaka huu

    Wamezoea kututukana sana hao mccm,hukumbuki mwingine alituambia hata nyasi tutakula lazima ndege ya mwenye kaya inunuliwe,sijui nani kawaloga au ukimya na nidhamu ya uoga ya sisi watanzania...inatugharimu kwa kweli.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Cheka upate Afya

    ፈቀጠቀረኘጠ
Back
Top Bottom