Kweli CCM Tunachukiwa!

Kweli CCM Tunachukiwa!

Hiyo ya kushushwa kwenye daladala sikuizi imekuwa kawaida.

Wiki chache zilizopita kwenye basi la dar mbeya kulikuwa na mabishano makali sana ya vyama vya siasa. Mzee mmoja tu ndio alionekana kuitetea CCM lakini naye alisema haridhiki na mwenendo wa sasa wa chama hicho na akakiri kuwa hali ni mbaya. Sikujua yeye ni nani ndani ya CCM.
 
Kidumu chama cha mapinduzi, kidumu, kitaendelea kudumu, hakina wenyewe, wenyewe ni sisi pamoja na wewe na hata kama hawataki, CCM namba ONE
 
Wameua kila kitu ccm hata huduma za afya zimekufa.kweli watawala wanamiliki meli hata ndege huku wananchi wanakufa kwa malazi kama malaria
 
Laser majina yenu yanaspeak louder sahivi yaani hata ukinyamaza bado litasema na litatumia tone ileile na wala sisi wasikilizaji hatutakushangaa kwasababu ndivyo ilivyo, mwana kwao na mchuma janga ala na wa kwao ..vipi leo hujasafiri tena ukaona Dom? ama umesahau kutijuza? basi usiache kusafiri tena ila kumbuka zaidi njia yako ya kwenda na kurudi ili safari isije kukupoteza ..na sijuhi utakuwa mgeni wa nani
 
Huyo dereva wa hilo bus angewashusha tu nyie wanazi wa CCM.
Mmelitia najisi bus la watu.
 
hao wala unga wa kariakoo hata daftarini hawajajiandikisha.

Kuna mbunge mmoja wa CCM alipoteza UBUNGE kwa sentensi hiyo bila kujua hao wauza unga ndiya wenye VIPANDE hivyo vy kujiandikisha kuliko unavyodhani.

Na sababu moja kubwa ni kwa ajili ya kujitambulisha...........Upo?Wenzio wana akili kuliko wewe...Pole
 
jingalao njoo umsikie ccm mwenzio akuambie ukweli ccm haipendwi
 
Last edited by a moderator:
Laiser Tom

Haituichukii,bali tunaitaka ipumzike iliipate nafasi tena ya kujiunda upya.Imechoka inahitajika kupumzika.Iko hoi inahitajika kwenda hospitali.Imenoki inatakiwaishushwe injini ili isukwe upya.....

Tunahitaji kusema HAPANA kwa RUSHWA ndiyo maana tunahitaji ipumzike na Rushwa ipumzike.
 
Last edited by a moderator:
Laiser Tom

ccm badala ya kuinvest kwenye huduma za jamii inawekeza kwenye kununua watu.inatakiwa tuanze kuwapiga mawe yaani hawafai hawafai si msikitini Wala kanisani
 
Last edited by a moderator:
Tuambieni kwanza waliokwapua escrow kupitia stanbic
 
Wengi wa watanzania wanachotaka ni mabadikiko ndani ya nchi hata angewekwa nani ukawa wapotayari kumpa kura
 
CCM ni mbaya sana. Ina roho ya uovu wa Lucifer yule shetani mkuu
 
uandishi wako unaonesha kabisa sio ccm na hii story ni yakutunga.
labda uendelee kuwadanganya nyumbu.
Laiser Tom
 
Last edited by a moderator:
mi naonaga mtu anaeitetea ccm hata hum jf ambae hafaidiki na,mfumo anafanya maigizoo ,,,,lasivyo watetea ccm wote ni wale ambao wanakula kupitia ccm,,,,,jana nlikua nmepanda daladala la k/koo_masaki ikazuka mada ya siasa,,,jamani aibu yaani watu tulikua wengi alafu wote hamna hata mmoja alieonekana kuitetea ccm ,,,,,,yani kila,mmoja alikua anarusha dongo analolijua hadi dereva nae alishiriki ilihali anaendesha gari..........nikasema ccm wakifosi goli la mkono this year hapatakalika tz...
 
Back
Top Bottom