wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Jiulizeni miaka 54 ya uhuru hadi leo Tanzania ilipasa kuwa hivi na raslimali zote tulizonazo? Watanzania mil 48, waliojiajiri na kuajiriwa hawazidi mil 10 (takwimu ya juu sana) hawa mil 38 wanaishije?
Katika mataifa yaliyoendelea kila raia anajulikana anafanya nini na kama hana kazi au kipato kuna njia hufanywa kumuwezesha aishi.
Hapa kwetu njia ya kukuwezesha ni kukupeleka segerea, ukiugua pesa, ukitaka kusoma pesa, vipi sisi watoto wa maskini tutasoma wapi?
Uhalifu uliopo hapa Tanzania unaletwa na umaskini uliokithiri wakati watu wananunua mboga kwa sh mil 10,na bil ni viji cent kwao,unapoipigia kura CCM ambayo miaka 54 imeshindwa kukuletea maendeleo unakuwa unawaza nini? kataka akili yako au ndo laana?