Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,346
- 9,881
CCM walaaniwe. aaniwe kuwaita watu na kazi zao na familia zao kuwa ni vibaya. Naona oktoba mbali mimi na familia yangu na marafiki zangu tuwaonyeshe ukibaka wetu
Wakati Tanzania ikielekea katika mabadiliko ya kihistoria kuiondoa ccm, kuna watu wachache wanaojiita wachambuzi kama polepole wananunuliwa na viongozi dhalimu wa ccm kuhakikisha wanajaribu kadri wawezavyo kuwavuruga watanzania waliokwisha dhamiria kuiweka ccm pembeni. Watu kama hawa wanatakiwa kusoma tu alama za nyakati, ni jambo rahisi tu kwa mtu kujiuliza maswali machache kama ifuatavyo:
1. Polepole na wenzake ccm wajue kwamba watanzania sasa wako serious kuiweka ccm pembeni kwa hivyo wakubali yaishe!!! swali rahisi kujiuliza::: kama watanzania waliweza kuwapuuza watu wenye heshima zao kama prof. Ibrahim lipumba waliotaka kuvuruga safari ya mabadiliko na sasa baada ya kuondoka kwake ndokwanza cuf na ukawa vimekuwa imara mara dufu itakuwa wapiga kelele kajamba nani wachumia tumbo kama POLEPOLE!!!!????? CCM NA VIBARAKA WENU JUENI THIS TIME CCM HAWATEWEZA KAMWE KUKWIBA KURA MAANA FOR A LONG PERIOD WALIKUWA WAKISHINDA KWA WIZI WA KURA!!!!!!
2. KWA NAMNA WATANZANIA WANAVYOTAKA KUINGOA CCM MADARAKANI, AMINI AMINI NAWAAMBIA HATA ARUDI NYERERE LEO HAWEZI KAMWE KUWABADIRISHA TENA WATANZANIA KUHUSU KUINGOA CCM!!! CCM HAIFAI AND IT HAS TO GO NOW AND MUST GO NOW
3. TANGU NCHI HII IPATE UHURU 1961, HAIKUWAHI TOKEA MTU YEYOTE AKAPATA MAPOKEZI MAKUMBWA KAMA ALIYOPATA JANA MKUU OUR NEXT PRESIDENT EL. HII NI DHAHIRI KWAMBA SASA CCM ISHACHOKWA VYA KUTOSHA NA WATANZANIA!!! Hii ni indiketa kuwa ccm wanakwenda kufa kifo cha mende!!!!
4. CCM NA VIBARAKA WAKE WASIJARIBU KUCHEZA NA NGUVU YA UMMA, JANA KAMANDA KOVA ALIBEEP TU .JUST KUBEEP KUTAKA KUZUIA MAANDAMANAO .GHAFLA AKASHTUKA NA KUSEMA JAMANI MISIJAWAZUIA!!!!!
5. KWASASA MTU YEYOTE ALIYE UKAWA ANAYEDHANI AKIJITOA UKAWA AU KUICHAFUA UKAWA NDOETI WATANZANIA WATARUDI NYUMA AJUE ANAJIDANGANYA NA KUJISHUSHIA HESHIMA YAKE BADALA YAKE NDOATAKUA ANAZIDI KUIPA NGUVU UKAWA KWA WATANZANIA!!!! CCM SAFARI HII WANAKAA PEMBENI WAONE NCHI INAVYOONGOZWA BILA USHAHIBA NA KWA SPEED KALI YA MAENDELEO .
6. Kwanini polepole anashindwa kuzungumzia ufisadi wa Magufuli wa nyumba za serikali, kivuko, report ya CAG n.k? huku akiongea mineno mingimingi eti akiita historia just kujaribu kupotezea watu lengo asijibu tuhuma za ufisadi wa magufuli!!!??? Anakaa anabwabwaja eti oooh hatutaki rais mwenye doa? Mara hatutaki rais tajiri akifikiri watanzania ni wajinga wa enzi za ujima??? Shame on him and his dying ccm!!! Kama ni doa mbona anakwepakwepa kuzungumzia madoa ya magufuli??? Kama ni utajiri kwanini anashindwa kuona simple logic kuwa; JK aliingia urais akiwa mtu wa kawaida lakin hadi sasa ni tajiri hadi watoto ri1, n.k na wajukuu ni matajiri wakubwa just for a period of ten years of his service as a president!!!!!???? What a mess!!!!??? Anataka tena tumpe nchi magufuli naye akafanye kazi ya kujitajirisha kwanza kama aliyemuweka JK!!! Watz wameerimika, wanajua, hawatakubali.
7. KWANINI HATA SIKU MOJA SERIKALI YA CCM I MEAN JK HAKANUSHI KUWA NDIYE ALIYEAMRISHA RICHMOND IPEWE MKATABA!??
8. Ufisadi kama wa ESCROW uliotetewa kwa nguvu zote na JK kwanini ccm hawauzungumzii!!!??? Watu walichota fedha ya umma bure lakin ccm kwakuwa ndio walioramba fedha hizo za wavuja jasho watz wanaona sikitu!!!!!!!
9. SIKU YA KUFA NYANI MITI YOTE HUTEREZA ..SO, UKIONA CCM INAJARIBU KUWARUBUNI VIBARAKA WAKE WAVURUGE UKAWA AFU WAKITOKA NDOUNASHANGAA WATANZANIA WANAZIDI KWA MAELFU KUJIUNGA UKAWA UJUE SAA YA KUFA CCM IMEFIKA!!!! KUMBUKENI CCM NA MUWATUMAO; KAMA SIKU YA KUFA KWENU IMEFIKA, KAHIKA HAMTAWEZA KAMWE KUZUIA KIFO CHENU!!!!! KWA USHAURI TU, VIJANA KAMA POLEPOLE, MAKONDA, NAPE, N.K JARIBUNI KUBAKIZA MANENO MAANA HAPO OCTOBER 25 RAIS WENU NI EL MSIJE MKAJUTIA MAISHANI KUKOSA KIPINDI HIKI KIZURI CHA KUMUONDOA MKOLONI MWEUSI CCM.
10. EL NI BALAAAA .. CCM HAWALALI KUTWA KUCHA MAANA WANAMJUA NI KIONGOZI ASIYE NA MASIHALA/USWAHIBA/UTANI KAZINI ESPECIALLY ANAPOKUWA AKIWATUMIKIA WATANZANIA NDIYO MAANA HAWAPATI USINGIZI KWANI WANJUA AKIINGIA MADARAKANI TU KAZI WANAYO!!!!!!!!!!!!!!!!!???????????? UKIONA MTU ANAOGOPWA KIASI HICHO NA CCM UJUE HUYO SASA NDOANAFAA KUWANYOOSHA ..!!!!! VOTE FOR EDWARD LOWASSA 2015 0CT 25.
Inaonekana Dar ina vijana vibaka na walevi walevi wengi sana nchini.
Chama cha Mapinduzi kupitia gazeti lake la Uhuru toleo la leo 11/8/2015 kimesema umati wa watanzania waliomsindikiza Lowasa NEC kuchukua fomu jana ni vibaka. ccm imedai vibaka hao waliokodiwa na ukawa walifanya uporaji wa mali katikati ya jiji. Ninachojiuliza je ccm ni wasemaji wa polisi? watanzania hawa wameikosea nini CCM kustahili kuitwa vibaka? Mungu na azidi kutuhurumia!!
Bahati mbaya mimi siyo kijana. Naweza kuwa na umri sawa na baba yako ndugu.Kumbe ni pamoja na wewe.
Chama cha Mapinduzi kupitia gazeti lake la Uhuru toleo la leo 11/8/2015 kimesema umati wa watanzania waliomsindikiza Lowasa NEC kuchukua fomu jana ni vibaka. ccm imedai vibaka hao waliokodiwa na ukawa walifanya uporaji wa mali katikati ya jiji. Ninachojiuliza je ccm ni wasemaji wa polisi? watanzania hawa wameikosea nini CCM kustahili kuitwa vibaka? Mungu na azidi kutuhurumia!!
Chama cha Mapinduzi kupitia gazeti lake la Uhuru toleo la leo 11/8/2015 kimesema umati wa watanzania waliomsindikiza Lowasa NEC kuchukua fomu jana ni vibaka. ccm imedai vibaka hao waliokodiwa na ukawa walifanya uporaji wa mali katikati ya jiji. Ninachojiuliza je ccm ni wasemaji wa polisi? watanzania hawa wameikosea nini CCM kustahili kuitwa vibaka? Mungu na azidi kutuhurumia!!
Wacha waendelee kujitoa ufahamu,hao wanaowaita vibaka watawahukumu oct 25.