Recent content by mwanda-mbo

  1. mwanda-mbo

    Hivi kinachoitwa MFUMO ni kitu gani?

    ufisadi ni zao la mfumo. tunapozungumzia mfumo tuna maanisha sheria za nchi zinazo endesha masuala ya nchi husika na kwa msingi huu, kinacho itwa mfumo katika taifa ni katiba na sheria zake, sasa katiba ya nchi hii ambayo ndio bustani na ardhi yenye rutuba kwa ajili ya mafisadi, na iliyo kuza...
  2. mwanda-mbo

    Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

    Kazi moja kubwa na ngumu inayo mtofautisha shetani na mwanadamu hata kama huyo mwanadamu ni mbaya kiasi gani, lkn hawezi kufanana na shetani ni mtu kuidanganya nafsi yake, hili shetani analiweza na ndo maana ktk Biblia anaitwa baba wa uwongo, Sasa ninapo anza kuona mwanadamu anathubutu...
  3. mwanda-mbo

    CCM mtawala mbaya

    CCM NI MTAWALA MBAYA MITHALI 29;2 SIASA ni mfumo wa kimaongozi au njia ya kufanya maamuzi katika jamii, na katika ngazi zote, yaani, Ukoo, Kabila, Jamii, na hata Taifa. Hakuna taifa bila siasa na hakuna siasa bila taifa, hivi vyote vimeumana na vinakwenda sambamba. Moja kati ya sehemu...
  4. mwanda-mbo

    Ugomvi wa CCM na CHADEMA

    UTANGULIZI Inapotokea migongano baina ya mtu na mtu, watu na watu, au vikundi au kikundi cha watu Fulani na watu Fulani, kwa hakika na dhairi kabisa, kwamba uhalisia na dhamira halisi iliyo fichika kwa ndani kabisa hudhiirika, kwa sababu taswira ya mtu wa ndani hujitokeza na kushindwa...
  5. mwanda-mbo

    Ni maana ya hiki kitu kilichonitokea?

    kwa mafundisho zaidi nitafute 0718582371
  6. mwanda-mbo

    Ni maana ya hiki kitu kilichonitokea?

    666 Ni chapa ya mpinga Kristo, kwa maana hiyo sio mungu kwa maana ya Mungu isipokuwa umetokewa na kupewa maono na shetani. Ufunuo 13:1......18...unapaswa kuikemea hiyo roho kwa jina la Yesu.
  7. mwanda-mbo

    Ukweli kuhusu Reborn International

    we utakuWa miongoni mwa hao wezi hupaswi kusikilizwa kabisa kwani si mara ya kwanza kujitokeza watu wa namna hiyo wakitaka utume pesa kupitia mitandao ili hali huna hakika yoyote lkn kama wako serious waambie ukawapatie live ofisini uone kama hawata kutoroka i
  8. mwanda-mbo

    Prime Minister Netanyahau speech on Congress

    crabat Hujui historia, 1981 esrael ilishambulia kinu cha iraq pekeyake bila kumhusisha us, na kutikana na us na france kutojali remarks za mosad sasa wakipoona wanampuuza akamshughulikia sasa na hili la iran ni swala la mda tu.
  9. mwanda-mbo

    TANESCO, Mtandao wa LUKU toka jana haupatikani

    mi naona dawa pekee ni kuleta ushindani katika umeme kusiwe na sjilika moja tu la utoaji huduma hii
  10. mwanda-mbo

    Kuna tatizo gani uchaguzi usifanyike Jumapili?

    si kweli wewe ni mpinga kristo na huwezi kuzuia maheuzi ya haki
  11. mwanda-mbo

    Chama cha Kilaghai kinachomilikiwa na Walaghai

    eeeh! kweli mjepo we ni pepo au jini kwani hujasoma au ndo viwango vya uzalendo na maslai kwa uma vimeporomoka kiasi hicho? kwani hizo garama umazipinga au na wewe umekuwa kama kale kabinti ka tibaijuka eeeh siku zenu zinaesabika
  12. mwanda-mbo

    Hivi ndivyo nilivyoelewa kuhusu Richmond na Escrow

    jk ndio mwizi mkuu, acheni uhuni wa kuchumia tumbo kuwatete wezi
  13. mwanda-mbo

    Lowassa, Sumaye na Ngeleja wahojiwa na Kamati ya Maadili, Membe adaiwa kukacha

    naskia lowasa kasema wakimzuia kugombea uraisi atamleta balali tanzania! duuuuuuuu itakuwa the greaaaaaaaateast news jinsi ccm inavyo die
Back
Top Bottom