Recent content by Mwanawaadamu

  1. Mwanawaadamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

    Hakuna Mabwana wawili ila kuna wake wenza hata 1000
  2. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

    Sio rahisi tamaa na laana ya ubaguzi wa maisha kwa viongozi wa Tanzania kuisha.Watajipanga na watapita ila Tanzania itabakia.
  3. Mwanawaadamu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasalitiwa baada mke wake kusafiri

    Mwanamke mke wa mtu hasamehewi ni maumivu ya milele
  4. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA PC YANGU

    Nunua ufuto wa kalamu kisha safisha ram halafu zipachike toa cmos betri Kisha washa halafu zima, washa tena ingia katika bios weka default settings, rudisha cmos betri iwashe.
  5. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Instagram recovery account

    Wakuu mko njema?, Kuna ambaye anaweza kurecover Instagram account ambayo iko active lakini email imehakiwa?!.
  6. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Tuna uza vifaa vya simu jumla na reja reja

    Nahitaji kioo na case ya Nokia n79-1 tafadhali.
  7. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Vifaa vyote vya simu jumla na rejareja

    Nahitaji Nokia N79-1 lcd na case 0757455942
  8. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

    Umesoma mwaka gani Mimi 1996
  9. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

    Hujaelewa iko sehemu gani CCP?
  10. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Kwenye kila shule kuna yule Mwalimu mnoko shuleni kwenu alikuwa anaitwa nani?

    Umesoma pale CCP? Mimi nimesoma pale.
  11. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Mimi nadaiwa lakini ndio nakaribia kumaliza.Ina muhimu sana
  12. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Video vixen Kidoa yuko tayari kupiga picha za utupu kwa dau Milioni 100

    Ruksa lakini vipi ukiwa na watoto wa kiume?
  13. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje mtu anaponitukana kwenye simu?

    Achana naye hapo sio kosa kama angekufuata na kukutusi hapo sio tatizo mpotezee halafu usimjibu inatosha hiyo adhabu
  14. Mwanawaadamu

    JamiiForums Tanzania UTALIPWA KWA MTAALA WA ELIMU YA UFUNDI SIMU KWA SOFTWARE.

    Ahsante nimefanikiwa ndio naenda kuchukua
Back
Top Bottom