Recent content by mwanateknolojia

  1. mwanateknolojia

    SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Wakurugenzi wa halmashauri na wakuu wa mikoa pitieni uzi huu mpate madini ya kukabiliana na tatizo la machinga bila vurugu!
  2. mwanateknolojia

    Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

    Haya bhana kuna kipute cha Simba na Yanga pale Dimba la Mkapa! Wabongo wanaita Kariakoo Dabi! Mie hapa nishajinafasi mapeeema!
  3. mwanateknolojia

    Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

    Unaishi gani? Tuanzier hapo kukusaidia?
  4. mwanateknolojia

    Kama Patrick Phiri alivyorudi Simba Mara Mbili, Je Cedric Kaze hastahili kurudi?

    Ko wewe wafuata mkumo wa Simba! Kwanza Simba ado wanna mashindano ya kimataifa Yanga ishatupwa nje hiyp Dazani ya mkocha wa kimataifa ya kazi gani? Ligi kuu Tu? Kombe la Mapinduzi? Au kombe la Azam? Hayo ni matumizi mabovu ya rasilimali!
  5. mwanateknolojia

    Kama Patrick Phiri alivyorudi Simba Mara Mbili, Je Cedric Kaze hastahili kurudi?

    Hapana subirini msimu uishe, ndipo mumwite ajisajilie kikosi chake na kukiandaa mwenyewe ili asitwishwe zigo lisilo lake!
  6. mwanateknolojia

    Machinga wasilete siasa waondolewe haraka miji yote Tanzania

    Sawa, warudishieni kwanza fedha za vitambulisho! Wengine walilipia wakiamini serikali italinda biashara zao wasibughudhiwe !
  7. mwanateknolojia

    Nilichokigundua Kutoka Simba Mpya - Simba 0 - 1 TP Mazembe

    Ni mapema sana kusema kikosi i kibovu au kizuri, hebu tuwape muda kidogo wajenge muunganiko! Vijana wanahitaji mambo madogo watafanya kweli!
  8. mwanateknolojia

    Kazi ya kuajiriwa ni utumwa tu

    Pole mkuu! Lakini sio kazi zote zipo hivyo kuna wengine wanarelax sana tu! We kuwa mvumilivu uitumie hiyo kazi kama gazi ya kupata kazi nyingine! Watu husema kama unaona kazi kufanya kazi, Acha kazi uone ilivo kazi kupata kazi! Uamuzi wa kuacha kazi usiuchukue kala ya kupiga hesau zuri za...
  9. mwanateknolojia

    Tanzania unaweza kufika kutoka nchi yoyote ukanunua ardhi, ukajenga, ukawekeza na wasikufanye lolote

    Kaka mali ya Mtanzania ni ya Mtanzania! Kama hapa Zenji tu Wabara haturuhusiwi kujenga iweje turuhusu wakenya waje kujenga Tz na population yetu inapanda kwa kasi namna hii?? Huko Uhamiaji nlitaka kujua kama sheria za uhamiaji zinaruhusu Mkenya kumiliki Ardhi ya Tanzania au la? Maana hata katika...
  10. mwanateknolojia

    Tanzania unaweza kufika kutoka nchi yoyote ukanunua ardhi, ukajenga, ukawekeza na wasikufanye lolote

    Aisee hiyo ni kweli kabisa! Mimi mwaka 2014 niliingia mgogoro wa kiwanja na Mkenya tena ana majina kikenya kabisa yanaanza na "O", Lakini bado aliweza kuwanunua maofisa ardhi na mwisho wa siku nikaambiwa mimi hati yangu ni ya mwaka 2014 na yeye ni ya mwaka 2013, Hivyo yeye ndo mmiliki wa kwanza...
  11. mwanateknolojia

    Nimempa kipigo kizito Afisa wa benki hatakuja kunisahau

    Mkuu kwanini usingekuwa ulishaungana na kina Matumla au Mwakinyo? Nafkikri wale ndi wanaotumia mikono yao kupiga kwa faida, hizo mambo zako zitakuja kukucost! Kwanza nashauri usirudi tena kupigana nae, anaweza kukuaibisha zaidi kwa kipigo kizito maana utamkuta yupo well ;prepared! Wakati...
  12. mwanateknolojia

    Inasikitisha sana: Simba day ishafelishwa na tulioaminishwa ni wa kisasa

    Kama kuna hujuma hao lazima ni Yanga! Nimeshangazwa eti mechi hizi zote walizopoteza, wanawataja Simba! Jamani wachezaji kama kina Feitoto wameshindwa kukwamisha mpira wavuni akiwa ndani ya 6 unakuja kuwataja Simba!!! Na wale mnaomsifu Manara na kuona kanakwamba Simba itapoteza sana kutokana na...
  13. mwanateknolojia

    Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Ha ha ha haaaa! Siku ukikamatwa na mwenye mali utahama kitongoji!
  14. mwanateknolojia

    Kazi hizi hufanya Wanaume wengi kula tunda kimasihara

    Kweli mkuu kawasahau odaoda na bajaji! Hawa wanakula hata visivyolika (wake za watu)! Kuna bodaboda alikuwa akiishi mtaani kwangu, akikuonyesha watumishi aliowahi kupiga huweziamini aisee! Kisa lift ya kuja kumchukua kazini na home!
  15. mwanateknolojia

    James Rugemalira aachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na mashtaka

    Ni jambo jema! Pole nyingi kwake! Bravo DPP!
Back
Top Bottom