Recent content by Mwanatarime

  1. M

    Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

    LAT go for the next, coz it is true! the landslide is still coming. Ni bora uwe na maji mengi pia ya kunywa.
  2. M

    Diwani wa Kata ya Sombetini (CCM, Arusha) ahamia CHADEMA

    Katibu mwenezi UVCCM wilaya ya Longido ndani ya CDM, lazima jeshi lijijenge hata kwa kushirikisha maadui wanaokuwa tayari kutoa msaada wa kiiteligensia.
  3. M

    Vigogo wengine kutimkia chadema

    Ndugu, katika siasa hili la kuhama chama kimoja kwenda kingine ni jambo la kawaida. Hapa kwetu Tanzania ni kwa sababu tumeisha-label baadhi ya watu kuwa hawawezi tena kuwa watu wazuri ndani ya vyama vyetu, CCM wanajua sana kutumia hili jambo la kuhama (japo mara nyingi tunasema CCM imenunua mtu...
  4. M

    Je Mrithi wa Regia ilikuwa lazima atoke kasikazini??

    Jamani humu ndani, I mean JF huwa naamini kuwa watu wengi ni waelewa au ni wasomi au hata ni wadadisi wa mambo kidogo. Lakini kuna wakati nashindwa kuamini na hata kuwaelewa baadhi yetu humu lengo na nia la baadhi ya posts ni kitu gani. Hili swala la mbunge wa viti maalumu chama chochote cha...
  5. M

    Regia Mtema is No More!

    Niliyoyafanya tangu niwe Mbunge-Shukrani kwa WanaJFWakuu habari! Ni matumani yangu kuwa tumejiandaa kumaliza mwaka vizuri na kuplan vizuri for next year. Tukiwa tunafunga mwaka nimeona niandike kwa kifupi yale niliyoyafanya kwa kipindi Cha mwaka mmoja tangu kuapishwa kuwa Mbunge wa Vitimaalum...
  6. M

    Ndugai amvaa Sumaye, asema hana usafi wa kubeza posho!

    MMK jibu la swali lako Ndugai mwenyewe kakujibu cheki hapa: “Mimi nakwambia kitu ambacho nakijua na wakati huo nilikuwa bungeni kama mbunge na Sumaye alikuwa akizipokea hizi posho, Rais (Ali Hassan) Mwinyi aliwahi kusema kila zama na kitabu chake, hebu na yeye (Sumaye) atuache na sisi tuandike...
  7. M

    Makomandoo wa Bongo

    Mkuu na hawa wakwetu wametrain huko huko, Cuba, Misri, Israel, Russia, Iraq n.k, na Kozi fupi fupi maeneo mbalimbali. Tusiwabeze wako pouwa.
  8. M

    Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Mkuu ni watalaam kutoka China na wengine wa humu ndani, imagine mtu anatolewa China kuja kufanya vituko kama hivyo. Hii ndo Nchi yetu.
  9. M

    Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Nimeipenda hii mkuu, kweli hii ni demo tu.
  10. M

    Ndoto ya masaburi ya siku nyingi yatimia

    Ni jina lake kaka anaitwa Dr. Didas Masaburi, so sio joke.
  11. M

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    SMS zinaendelea kusambaa kuwa hatuko naye tena duniani. Jamani kitu kifanyike mapema.
  12. M

    TAIFA STARS ni Siasa pia

    moroco 2 tanzania 1
  13. M

    TAIFA STARS ni Siasa pia

    Wakuu naona tumepigwa, morroco tanzania, kwa sasa ni dakika ya 70
  14. M

    Polisi wakiwa kazini benki ya CRDB

    Hili nalo neno, kuna kila aina ya ukweli kwa speculation yako, haingii akilini kuwa wakati watu wengine wanakimbia wengine wawe na ujasiri wa kuchukuwa pesa na nyaraka za wenzao, unless ni calculated move. Kama ni punguani kwanini aje kurusha mawe kwenye jengo hilo tu wakati yapo majengo ya aina...
  15. M

    FULL TEXT: Hotuba ya Lema bungeni

    Duuuh! Karibu Mzee, endelea kupokea posho ili upate pesa za kumlipa mtu wa kukuandikia humu JF, manake unahitaji msaada.
Back
Top Bottom