Eleza kwanza gari ni aina gani? Ina cc ngapi na umbali kutoka kazini kwenda nyumbani ni km ngapi?
Mambo ya kusema gari binafsi, la kawaida au nauli ya daladala sh 1000 yote hayo hayawezi kusaidia kufanya makadirio.
Sawa na kusema, ikiwa mtoto wa Ng'ombe anaitwa Ndama, je mtoto wa sungura...
We nawe acha ushabiki wa kijinga!
Unategemea taarifa za kina za kitabibu kuhusu mgonjwa zitolewe zote hadharani?
Unategemea Katibu Mkuu aanze kumtibu naye au aingilie mambo ya madaktari wa hospitali alikolazwa?
Unategemea dereva aliyeshuhudia watu waliotaka kufanya mauaji awe mtaani? Huoni...
Nimesikia kasema miaka ya nyuma. Sikusikia kasema mwaka 2009. Mwaka 2009 na 2010 kazungumzia kesi. Hebu tufuatilie hiyo miaka ya nyuma kabla ya 2009 nani alikuwa Waziri wa Ujenzi. Na zaidi ile kampuni ilinyang'anywa zabuni/kandarasi mwaka gani ndo tutapata ukweli wenyewe.
Sent using Jamii...
Na wewe uchunguzi wako uliufanya lini na kwa kwenda wapi na wapi ukabaini hivyo vyeti feki viko vingi VETA.
Tuletee hiyo orodha hapa ambayo unaeleza wewe kuwa VETA haimo. Ama ondoa utumbo wako hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unataka kutuaminisha kuwa zoezi la uhakiki halijafanyika VETA? na pengine fafanua kwa nini hao wahakiki waliacha kuifanyia uhakiki VETA?
Nakuona ukaa kinafiki nafiki hivi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachojiuliza aliyeanzisha uzi amefanya uchunguzi gani kubaini kuwa VETA kuna vyeti feki? Maana zoezi la uhakiki lilishapita na wafanyakazi wa VETA walihakikiwa. Sasa anaposema kuna wenye vyeti feki tena kachunguza lini na kwa uhakika gani tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyeanzisha uzi sijui atajisikiaje kwa namna watu walivyompotezea na kuanza kutoa sifa nzuri kwa VETA. Ni kama wamempuuza hivi.
Nadhani mara nyingine atakuwa makini kutoa hoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.