Naomba kuuliza matumizi ya gari ya kawaida kuhusu mafuta per day

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Wakuu habari,

Naomba kuulizia magari ambayo hayali mafuta kwa siku unaweza weka lita ngapi? Mfano unaenda nalo kazini tu kila siku.

Umbali wa kazini na nyumbani kwa daladala ni 1000 kwenda na kurudi
Je ukiwa na gari yako binafsi ambayo haili mafuta unaenda nayo kazini tu na kurudi basi, je utapaswa kuweka mafuta ya sh ngapi?

Je hapo gari itatumia mafuta ya sh ngapi kwa kwenda na kurudi tu kazini?
Nauliza kwa gari zinazokula mafuta kidogo
vitz new model

Kwa gari yenye cc 660-1200 matumiz ya mafuta kwa mtu unayeenda kilometa 15 kwenda na km 15 kurudi yakoje gari kama vitz new model
 
Gari yako ina cc ngapi? Kutoka kazini hadi home km ngapi? Condition ya gari yako ikoje?
 
Eleza kwanza gari ni aina gani? Ina cc ngapi na umbali kutoka kazini kwenda nyumbani ni km ngapi?

Mambo ya kusema gari binafsi, la kawaida au nauli ya daladala sh 1000 yote hayo hayawezi kusaidia kufanya makadirio.

Sawa na kusema, ikiwa mtoto wa Ng'ombe anaitwa Ndama, je mtoto wa sungura anaitwaje?
 
Ha ha ha ha! Mkuu !
 
Magari yasiyo kula mafuta sio aina ya magari kuwa mahsusi humu ndani tunatofautiana uwezo Kuna baadhi hata V8 watasema hayatumii mafuta!
 
Eleza kwanza gari ni aina gani? Ina cc ngapi na umbali kutoka kazini kwenda nyumbani ni km ngapi?

Mambo ya kusema gari binafsi, la kawaida au nauli ya daladala sh 1000 yote hayo hayawezi kusaidia kufanya makadirio.

Sawa na kusema, ikiwa mtoto wa Ng'ombe anaitwa Ndama, je mtoto wa sungura anaitwaje?
Toyota ist
km kama 13 hv
 
Kilometa 10 mkuu
Okay, Mimi nitakupa experience yangu kwa kutumia Toyota Passo, mind you ilikuwa na 900cc sio kama ist 1300cc...

Umbali kwenda ilikuwa 24km na hapo lilikuwa linarudi home 24km again alafu linanirudia tena 24km.... So in short 94km per day. Hii ilikuwa constant 5 days. Hapo tulikuwa tunaweka mafuta ya 30k. Na bado weekend linapiga trip za 9km. After 7 days ndo inawaka taa.

In short ili gari tamu sana. Ukiweka full tank unapiga wiki mbili + kwa hizo km 10 zako. Tho inategemea sana na uendeshaji, acceleration, speed, stopping starting frequency. Binafsi naaccelerate polepole sana, speed ikizidi 60kmph, kusimama simama sana sana ilikuwa asubuhi kwenye foleni. But jioni ni kuslide tu. Hapo full AC, joto nilikuwa nasikia kwa washikaji waliokuwa wanatumia Toyota Crown wakati hawana hela za mafuta.

Nimekupa idea flani.

-callmeGhost
 
Oooh thanks boss so kama mm wa km 13. Mkuu per day gar kama hyo yako ya buku 4 kwenda na kurudi s ndo yatatoshea kbs?
 
Back
Top Bottom