Hata mchakato wa kura za maoni, wanaonyesha wagombea wa NYINYIEM tu, kama vile hakuna vyma vingine. Ila pia shirika linaendeshwa kwa hasra kubwa sana kwani wanachagua hata matangazo ya biashara.
Pia naomba tufunge huu Uzi manake hauna tija na hautusaidii kwa lolote ndugu yangu wa arusha..au unabenefit anything from warembo wa arusha?waliohamia Dar wote?na ukiwaambia wanatoka arusha watakukana manake washakua wadaslam..
Sijakuelewa manake unantajia wachaga wa moshi Bt kaa ukijua happy ni msukuma..mbongo kukaa China sio kwamba nae kabadilika kawa mchina umeelewa..Bt magese is a pure sukuma andamana..
We ndo umenena ndugu yangu,yan me hpo 2 ndo wanaponikera!!wakishapewa tshirt na khanga baasi wanasahau shida zote walizozipata na watakazozipata tena..
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.