Acha majungu,waulize watu wa chemistry watakuambia wat happened
majungu gani sasa wakati 95% ya wazawa wa arusha wameoza meno?? hao wamekulia arusha tena wakiwa wakubwa ndo wamekuja arusha ila wangezaliwa Arusha lazima meno yawe machafu,
Mbona wa kawaida tu hao...