usafiri unauficha na jeans .....sura unaificha na nini?..........hafu kwenye naniliii hauangalii usafiri kitu face to face.....Sura bomba sana, ila ungeonesha "USAFIRI"(Miguu)...hahahaaaa nahisi wengi ni vituko.....
Sasa best naona unataka watu waache kuangalia picha za Zinduna, wahamie hapa tu!!!
Namsubiri LiverpoolFC, Arushaone na ile wing nzima ya kaskazini waje watuambie ukweli, maana mimi nikisema mtani-serukamba km sio kuni-nchemba!!!!!
Happy magesse anatokea mwanza
Wakawaida sana, hata hawawafikii wa kwetu shinyanga.Mbona wa kawaida sana? au nina makengeza?
Mi mwenyewe nawajua..and they are very cheap...wanapenda sana kuwashobokea watu wa dar..