Recent content by mwanamperuzi

  1. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Obama yawaliza wengi

    Hapa ndiyo kitaeleweka zaidi as Trump si wa spot spot...hapo lazima watu waisome namba
  2. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua mafuta mazuri kwa Masaji

    Castro oil si mafuta ya massage, kwa maana ya massage inayoongelewa hapa
  3. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu amenipenda mwenyewe

    Unakoki bastola ww
  5. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Amemwambia kimila hawezi kumuoa

    Kaka kamwambia dada hawezi kumwoa kwa kuwa koo yao haichangamani na ya dada, sasa kaka anaendelea kumwita dada romantic names....how this comes?? Seriously!! Kaka ashamwambia dada sasa naona utafute tuu mtu ambaye atakuoa...mm hapana as family hai agree....and evry day he text her...calling her...
  6. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Kila nikikorofishana nae ananiambia tuachane

    Aiseeee umejibu vyema,,muhusika acha kushangaaaa sasa maneno umeambiwa...huelewi...picha ndo utaielewa??? Mkuu hyu mtu ashakuchoka Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
  7. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

    Majo ni kila kitu, anywe maji hata lita 6 inawezekana na ni kuamua tuu maana ni chupa kubwa 4 za klm,....maji pia yanatibu UTI kabisa na inaisha
  8. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na U.T.I naombeni msaada

    Nenda maduka ya waswahili ununue "uwatu" uchemshe unywe...maelezo pita grup la magonjwa na tiba asili facebook linaongozwa na mtu anayeita juma
  9. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Inabidi utibu kuanzia kwenye damu ..maana inaonekana imekuathiri sana..
  10. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania KIGAMBONI: Ufukwe wa Kijiji unateketea kwa moto muda huu

    Hivi kumbe hii bado ipo...duh! Hata sitamangi kwenda pale
  11. mwanamperuzi

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli haya yanatokea bahati mbaya??? Wakurya nitashukuru zaidi kupata ushirikiano wenu....

    Anyway n post ya siku nyingi ila nakushauri sana uende ukaombewe...ukombolewe nafikiri upo na tatizo hapo
Back
Top Bottom