Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

tatizo LA fungus limekuwa tatizo kubwa sana yan watu wanamwaga pesa zao kwa kununua dawa za kila INA lakini WAP...yan ukitaka kuamini jarib kwenda kila duka LA dawa unalolijua utaishia kupewa gresiofulvin,amphotelicin B,ketoconazole tabs na cream yake, fluconazole n.k..lakini kiukweli hizo dwa ni slow reacting drugs compared na fungal resistivity...kuna dawa kama fluconazole 200gm na Tarbenafile ndizo zinaweza kabiliana na tatizo hill but ni so expensive sana kwa mf .fluconazole 200gm inauzwa kidonge kimoja 2000 na unatakiwa utumie dozi moja complete yenye vidonge 15 so u can see ver very expensive...na ukiajidanganya kutumia vidonge 7 hutapona mpka umalize dozi...hata kwa terbinafile napo ni hivo hivo kama unaweza nenda medical shop mwambie akupe fluconazole 200 gm na sio 150gm yan hapo rudi unipe jibu na usidanganywe kupewa 150 gm ujue Aziponi...

but pia kuna hi I dawa ambayo ndo the best than ever known to most of people...yan watu wanakimbilia kununua dawa za fungas lakini wahaponi...fungus wanapovami mwili wako ni ngumu kutoka kama mwili wako utakuwa na chunus mgongoni au sehemu fungus zilipo...pale kunakuwa na multiple infection au utapata double infection ambayo kwa sasa tuliosomea mambo a skin I diseases au dermatologist tunaita una bacterial fungal infection so kama una MBA au fungas zilizoshindikana usitumie tena dawa yoyote ile ya fungas ila kuna dawa moja hivi ambayo kiukweli ndo itamaliza kila kitu inaitwa Septrin....

chukua septrin za 1000 halfu chukua mafuta madgo ya 300 aina ya baby care au Vaseline..(tafadhali usichanganye na lotion)
saga ile dawa au vile vidonge vyote mpka hakikisha vimekuwa unga haswa...
halafu changanyana mafuta mgando yako kwenye kikope like ..hakikisha unafanya mkologo wa maana...

then ukimaliza use unajipaka asbuhi kila unapomaliza kuoga unaenda kufnya mishe zako halafu jioni unaoga tena kisha unapaka tena...
yani for sure I give you two weeks hakuna hata DOA litakalobaki hapo na utakuja kutueleza juu ya maendeleo yako..

ukiona hujapona fungas badaa ya hiyo kazi bas namba uje hapa JF na azisha Uzi mwingine kwa kunitaji jina langu ili mnihoji juu ya fake advice I give you...
for sure hutaamini machoni mwako yani ni dawa itakayokugalimu kama 1000 lakini utakuwa umepona milele narudia tena milele na milele badala ya kuendelea kutumia dawa ambazo ni garama kubwa sana lakini hakuna lolote...only septrin is the final drug of choice for bacterial fungal infection...
naomba kuanzi Leo usinunue dawa yoyote ile ya fungal make kwanza izo dawa ni very very toxic sana kadri unapozidi kuzitumia..wale wataalamu wa afya watakubaliana na Mimi kuwa ketoconazole is the best liver inducing toxic drug na Mara nying husababisha kidney failure kwa akina mama wajawazito hata felt death can occur..ndo mana tumeitoa kwenye normal drug routine uses...

cha msingi ndg yangu kafanya kama nilivokuambia na wengine ambao mlikuwa hamjui juu ya siri kubwa ya septrin kutibu chronic fungal infections including systemic spread au local spread ila dawa take ndo hiyo..
nakutakia mafanikio mema mkuu...
uaiaite kunipa mrejesho ...
Are you sure?

Nenda Agakhan Hospital kamwone specialist wa ngozi. ..professor mmoja jina nimelisahau ni mswahili ...huwa anakuwepo saa za mchana na jmosi asubuhi. ..atakusaidia nina hakika. ..pole sana ndugu yangu. .

*Fluconazole 150mg OD 30/7*
Copy hapo juu km ilivyo hii dawa nenda duka la dawa wakupe utapona kabsaa

Wakuu Nahitaji Dawa kwa ajili ya Fungus nimeona niiombe msaada kwani imeshaanza kuenea maeneo mengine kama Usoni naona kutoka na Kujikuna au Taulo ambalo natumia Ugonjwa huu unaninyima raha hasa nikitoka Kuoga

Huwa najikausha vizuri na Taulo lakini wapi hali bado ngumu naombeni msaada wakuu Ugonjwa Siupendi huu umeniathiri sana sehemu za Siri.

Dawa ambayo niliambiwa nitumie inaitwa WHITEFIELD lakini hii nikipaka Korodani huwa zinataka kukatika ina maumivu makali sana hadi machozi yanatoka.

Msaada.
Mkuu hiyo dawa ya Whitefield ina maumivu makali sana,inatisha sana

Natilia shaka hiyo fungus kuenea mpaka usoni mmhh hata. Watu wengi wanasumbuliwa hata zaidi ya miaka 10 bado itabakia uko uko sehemu za siri haiwez kufika usoni. Ebu nenda kwa DAKTARI kajielezi vizuri.
Madaktari wa humu ndani wa jf nawashangaa sana wanakimbilia kutoa namba za simu pasipo hata kuhoji inaonekana ni wapiga diri. Fungus mpaka magamba kutoka natilia shaka.
Kuwa makin na madaktari wetu utaibiwa

Inapauka na Kuwasha siku nyingine yanabanduka magamba kama ya samaki hivi disgusting Dada!
Ngozi kuwasha mara nyingine ni njia ya body's defence mechanism kukuambia kuwa kuna tatizo katika mwili wako, kafanye full medical check up kwanza.

Similar Discussions

Back
Top Bottom