Naomba kujua mafuta mazuri kwa Masaji

Naomba kujua mafuta mazuri kwa Masaji

Rafael Salgado hyo nikimfanyia Baby anaskia nyege
eeb59f9fead8969ab4b65fb6c1a301dc.jpg
 
Somo lina wadau wengi jamani haya Arovera ulio yataja yanapatikana wap kiongozi
 
Habari zenu wana JF.?

Naam ni mafuta yapi yanayo tumika katika kufanyia massage katika mwili wa binadam? Mwenye kufaham anijulishe hapa aina ya mafuta hayo pamoja na Bei zake.

Asanteni na karibu katika hoja.!!

Rafael Salgado hyo nikimfanyia Baby anaskia nyege
eeb59f9fead8969ab4b65fb6c1a301dc.jpg
hiyo mkuu si ya kuweka kwenye salads?
ya massage ni hii
6fee848ca58b204df01f7344987c6790.jpg
 
Sikushauri utumie Castor oil, uwahi kukauka mkononi. Nishawahi yatumia. Ni makavu hivi

Mafuta matamu ya kufanyia massage ni Olive oil. Yanateleza vizuri sana. Wapo pia wengine watumiao mafuta hayo kama kilainishi kule kunako kutokana na uhafifu wake wa madhara.

Karibu.
 
Sikushauri utumie Castor oil, uwahi kukauka mkononi. Nishawahi yatumia. Ni makavu hivi...

Mafuta matamu ya kufanyia massage ni Olive oil. Yanateleza vizuri sana. Wapo pia wengine watumiao mafuta hayo kama kilainishi kule kunako kutokana na uhafifu wake wa madhara.

Karibu.
Castro oil si mafuta ya massage, kwa maana ya massage inayoongelewa hapa
 
Olive oil ndo yenyewe hayo. I can prove yanafaa sana mie huyatumia mara kwa mara.
 
Moreover olive oil inauzwa cheaper tu kichupa Kimoja ni takriban 4,000/= na kinaweza kutumika hata mipigo 3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom