KIGAMBONI: Ufukwe wa Kijiji unateketea kwa moto muda huu

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714


Ufukwe wa Kijiji uliopo Kigamboni unateketea kwa moto muda huu, bado sababu za moto huo hazijajulikana.

Taarifa zaidi kukujia...
 
Poleni sana waathirika ni hatari sana,
Maeneo kama hayo huwa kuna mapepo karibu kama mnajaribu kuzima msisahau kukemea kwa JINA la Yesu.
 
Aiseee usisikie..kuna mdogo wangu saiv kaniambia alikuwa kwenye tukio... Inauma sana nilikuwa sehemu nzuri sana kwakupumzika pale
 
..
Ufukwe wa Kijiji uliopo Kigamboni unateketea kwa moto muda huu, bado sababu za moto huo hazijajulikana.

Taarifa zaidi kukujia...
Vipi tujitayarishe kuchangia wahanga wa tukio kama tulifanya kwa wahanga wa tetemeko ambao wamesusia wito wa kujitetemesha?
 
Nimetaarifiwa beach maarufu Kijiji beach imeunguwa jioni ya leo. Sina uhakika ni kiasi gani imeteketea.
 

Attachments

  • IMG-20161117-WA0001.jpg
    IMG-20161117-WA0001.jpg
    55.8 KB · Views: 51
  • VID-20161117-WA0000.mp4
    7.4 MB · Views: 25
Nimetaarifiwa beach maarufu Kijiji beach imeunguwa jioni ya leo. Sina uhakika ni kiasi gani imeteketea.
Mkuu, ungekusanya taarifa kamili/vizuri kisha ndio ukaileta hapa jukwaani.siunajua JF ni chanzo cha kuaminika na habari nyingi zinaanza kuripotiwa hapa.
 
Mamaae mswisi biashara ngumu imemshinda hahhahaa kaitia moto asubiri insuarance asepe zake kwl bonge kutoka tambalaleeh kuwa jangwa
 
Mkuu, ungekusanya taarifa kamili/vizuri kisha ndio ukaileta hapa jukwaani.siunajua JF ni chanzo cha kuaminika na habari nyingi zinaanza kuripotiwa hapa.[/QUOTE
taarifa muhimu ni kukujuza tukio, nimekuwekea na picha. hasara na mengineyo wapo ambao wameshuhudia watachangia
 
Back
Top Bottom