Recent content by mwanamatumbi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Trafiki ni mradi wa mapato Serikalini na wakubwa fulani

    Hawa jamaa ni kama vile wamepewa target ya kukusanya ela. Hamna siku nimekereka kama kupigwa Tochi saa moja na dakika hamsini asubuhi maeneo ya Tegeta Scansa nikiwa na speed ya 65 km/hr. Yaani asubuhi asubuhi watu tunapigana Tochi mjini kweli.!!? Ifike mahali hizi Sheria za makazi na speed...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Hospitali nzuri au Daktari mzuri wa mambo ya Afya ya uzazi

    Kama yupo Dar mwambie aende Ilala Afya Center
  3. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tegeta A

    Ukitaka kufika kwenye hicho kiwanja unashukia kituo gani cha daladala?. Na ni umbali gani toka Bagamoyo road?. Maji na Umeme vipi karibu?.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Igoma-Mwanza: Bajaji ya mizigo inauzwa

    Nna 2M mfukoni hapa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Goba plot tegeta A

    Hivi Tegeta A imepakana na wapi?.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia haoni mambo ya nchi hayako sawa? Mafuta yamepanda kwa 100%

    Watanzania hata tuongozwe na Malaika,hatutoacha kulalamika. Hakika ukiwa Kiongozi wa WaTZ inabidi uwe na moyo mgumu kweli kweli.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tubadilishe mitazamo ya kutaka kufanya sherehe kubwa za gharama

    Asilimia 70% ya watu wanaotoa michango ya harusi huwa hawatoi kutoka moyoni. Mtu anachangia ili kuondoa aibu tu kwa jamaa ama rafiki. Siku hizi ishakuwa utamaduni kuchangishana. Baadhi ya watu wamefika mbali wanataka hadi michango ya birthday,kipaimara,komunyo, graduation n.k.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Chuo cha ufundi pikipiki

    Hamna chuo kinachofundisha ufundi wa pikipiki Tanzania hii kwa sasa. Mtaftie kijiwe ambacho kina mafundi wanaokubalika na bodaboda umweke hapo. After 6months atakuwa vizuri Sana Kama kichwa ni chepesi. Ili aelewe zaidi hiyo fani,mtaftie smartphone ya kueleweka ili awe anapitia video za theory ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gynecologist mzuri Mbeya

    Nashauri ungeenda kupima na Mr. Unaweza kudhani wewe ndio una tatizo kumbe Mr. Ndio mwenye tatizo. Siku hizi wanaume wengi Wana tatizo la kutokutungisha mimba.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

    Ikifika 55M nishtue Kiongozi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe 26 Jan 2022. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa ushahidi wake

    Sauti alizorekodiwa wakati wanakutana zitawasilishwa. Maana FM alikataa mazungumzo ya kwenye simu akasahau Kuna voice recorder. Yajayo yanahuzunisha.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape aagiza Jeshi la Polisi kuchunguza ajali zinazosababishwa na magari ya Serikali. Kamanda Mutafungwa asema wataanzia Simiyu na Mtwara!

    Barabarani Sasa hivi kumekuwa na vurugu kubwa za magari ya Serikali na mabasi makubwa ya mikoani. Yaani ukiwa unaendesha gari yako hasa highway ukafika salama unamshukuru Mungu. Barabarani unaweza kuwa mstaarabu na makini Ila mzembe mmoja akakusababishia ajali. Asilimia kubwa ya Traffic...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika: Familia tumekwama

    Yaani bro wako alishindwa kumuhudumia huyo Dada kimya kimya Hadi issue ikajulikana na wife wake!!?. Kwa ushauri wangu aendelee kumuhudumia huyo Dada kwa Siri pasipo mkewe kujua. Akishajifungua waende kupima DNA kuthibitisha Kama mtoto ni wake kweli.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba hana msaada wowote kwenye Wizara ya Nishati. Tumechoka!

    Watu wanafiki Sana. Baadhi ya viongozi wa awamu ya5 walivyokuwa wanawawajibisha watendaji wazembe ikiwepo na Tanesco nyie nyie ndio mlikuwa mnasema kuwa wanaonewa. Mkasema watu waachwe wafanye kazi wasiingiliwe na wanasiasa au kuacha mifumo ifanye kazi. Mimi nnachoamini baadhi ya taasisi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu wa Tanesco, Maharage Chande "watch out"

    SSi mlisema mifumo iachwe ifanye kazi yenyewe!!. Kwamba isiingiliwe. Toshekeni na majibu ya mfumo Sasa.
Back
Top Bottom