Recent content by mwanamalundi90

  1. mwanamalundi90

    Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

    Mkuu ni makabe eneo gani hilo?? Maana asbh nimepita hapo sijaona wala kusikia. Nakuja kuona status tu wanazengo wanapost
  2. mwanamalundi90

    Vijana tuna lakujifunza kwenye sakata la Sabaya na Makonda

    Barua ya kutenguliwa hukuiona kesho yake mara baada ya yeye kuchukua fom ya kuomba kugombea huko Kigamboni??
  3. mwanamalundi90

    Vitu vya ndani vilivyotumika vinauzwa

    Stend ya viatu 15k fasta ilete hapa urafiki
  4. mwanamalundi90

    Kinondoni: Mfanyakazi wa TAKUKURU Nina Sipilon Saibul, amekamatwa kwa kuomba Rushwa ya Mil 4.9.

    Kumbe ndio hawa walikamatwa jana yeye na mme wake hapo shekilango (shell ya Total).!! Nilijua tu huyu jamaa na yule mdada watakuwa mke na mume
  5. mwanamalundi90

    Mjue Rapcha (Young Lunya's nightmare)

    Kazaliwa Shy japo ana asili ya mkoa wa mara. So nyumba yao(wazazi na ndugu zake wapo shy)
  6. mwanamalundi90

    Jinsi ya kutag

    Cookie Smokey Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mwanamalundi90

    Jambo na Vijambo imerudi kwa kishindo

    Jana kanifurahisha sana maneno 10. Anaambiwa huyu meja kuwa hajafa kazimia.. yeye anasema nazi 100 za nini shughuri yenyewe ndogo hii, nazi mbili zinatosha kuungia maharage... ndo pale akajibiwa sio nazi ila alizirai huyo meja kunta. Asi nilicheka sana asee Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mwanamalundi90

    Uzi wa wenye simu za iPhone

    Tutulie wenye simu za kkoo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mwanamalundi90

    KIWANJA KINAUZWA MBEZ MAKABE( 21 X20)

    Makabe sehem gani. Taja maeneo. Kwa lipelanya,ama tabata,ama wap
  10. mwanamalundi90

    Raha ya mtoto wa kike kutongozwa na fahari ya mwanaume kutongoza!

    Ile kuandika ratiba zako za siku nzima imeishia wap mkuu?
  11. mwanamalundi90

    Uliza swali lolote la umeme wa majumbani

    Mkuu mm nimefungiwa umeme kama mwez hv umepita,sijahamia bado,ila huwa nanunua umeme wa elfu5 kila uishapo kwa ajili ya kuwashia taa za nje. Je nikitaka kujua kama nipo D1 ama sipo nafanyaje hapo?
  12. mwanamalundi90

    Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

    Duuuh mna mbinu nyingi za kukusanya madeni!!
  13. mwanamalundi90

    TCL SMART TV inch 32 laki 4 na nusu(imetumika miez mitatu tu)

    360k ipo chap. Kama upo serious njoo PM kesho asbh tumalize biashara. Nipo mwenge Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom