Mjue Rapcha (Young Lunya's nightmare)

Mjue Rapcha (Young Lunya's nightmare)

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
7,367
Reaction score
12,959
Jana nlikuwa YouTube naangalia freestyle ya mex cortez kupitia wanene Youtube channel. Chini ya recommendations nikaona video yenye title "Rapcha- Kisanga"

Nikajua tu hizi zitakuwa za ma Underground kwasababu main video nayocheki ni ya underground mzee mwenyew mex.
Nilipoiclick kumsikia dogo nilikuwa surprised sana kwasababu most times underground tena wa hip hop huwa wananiangusha sana

Dogo anajua bana and we've been sleeping on him zz ila haraka haraka anamkalisha Young Lunya labda tumuweke levo za Young Killer

​
 
Huyu dogo nilimuona kwenye verse moja akichana remix ya MSELA ya Marehemu Ngwair
 
Boya kwel wew.. umeanza fatilia mzk lini ?

Noorah aka Baba Stylez

Jide Jaydee

Kanumba

Mimi mwenyewe

Rado ( yule mbongo move )
Nakuongezea wengine
Nacha, Bando mc, Lameck Dito n.k
 
Back
Top Bottom