Naunga mkono mada hasa katika suala la elimu. Wachaga wako mbali sana ukilinganisha na makabila mengine tanzania. Juzi juzi tu hapa wamefanya maajabu ya kurusha chombo kwenda kwenye space kutokana na elimu waliyopata katika sekondari ya umbwe, lyamungo, kibohehehe, ashira, machame girls, moshi...
Ni utoto tu ndiyo unakusumbua. Toka lini umewahi kusikia katika ulimwengu huu, mwanaume kuwa na mwanamke mmoja? Mwanamke mmoja ni mama mzazi tu. Ukikua utapotezea!!! Kwa ujumla, hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja duniani. Never, ever!! Hutaki unaacha.
Siyo kila PhD unayoona mtaani ni PhD. PhD nyingine ni sawa na makaratasi ya kufungia maandazi. Vyuo vinavyotoa PhD kwa level ya kitanzania ni UDSM, SUA na Muhimbili. PhD nyingine zote ni feki tupu.
Na hivyo vyuo ukilinganisha na vyuo vikongwe duniani kama Harvard au Cambridge, PhD zao (UD...
1. Acheni kulia lia ovyo ovyo.
2. Dhana ya uchumi wa viwanda bado haijaingia kichwani.
3. Value addition ni muhimu sana
4. Soko siyo lazima liwe kenya. Acha kukariri
1. Mleta mada unadhihirisha udhaifu mkubwa sana uliopo ndani ya ACT wazalendo. Kama hao viongozi waliohama huko ACT ndiyo walikuwa na tabia hizo, basi hawafai hata kupewa uongozi ndani ya CCM
2. Kwa mawazo yako finyu unadhani unabariki viongozi hao kutoka ACT wazalendo, lakini kwa watu wenye...
Fake News: Marriage Between Humans And Animals Has NOT Been Legalized In Norway
https://hoax-alert.leadstories.com/3470822-fake-news-norway-marriage-between-human-and-animals-not-legalized.html
What goes around comes around. Tusisahau kwamba ni hao hao Precision ndiyo waliochangia kuua ATCL mpaka wakafikia hatua ya kujimilikisha karakana za ATCL hapo Mwalimu Nyerere International Airport. Mkuki kwa nguruwe................................
Wacha upuuzi wewe. Maambukizi ya ukimwi yanapunguzwa kwa kubadilisha tabia. Na hata ukiwasikiliza hao wataalam wa ukimwi, wanakwambia kondomu ni suluhisho la mwisho. Zingatieni mafundisho ya dini. Usizini, usitamani mke wa jirani yako......Wewe unatuambia suluhisho la kupunguza ukimwi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.