theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,731
Kiasi chake mchumba...Umejiandaa?
Kiasi chake mchumba...Umejiandaa?
SIjawahi ona racists kama waafrika, [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]dude you must be kidding...!!! OR ELSE....!!!Naona thread imejaa racists.
SIjawahi ona racists kama waafrika, hii story waionyeshi kua wazungu ni wabaya, tena kwa taarifa yako ndoa za wanyama na binadamu zimeanzia africa, vitu vingine tunavyopinga sana kama lesbians vilikuwepo africa toka zamani, kama hamjui mila za wakurya wanawake wanaoana vijijini toka miaka zaidi ya 50 iliyopita, wazungu wana popularize tu kwenye media ili kama ni kuanzisha waafrika walikua na haya mambo toka zamani sana mlikua hamyasikii tu. Sio kwamba natetea upuuzi mwingine, kuna vitu sipendi ndiyo kama hili ni la kijinga, sipendi u-gay, kujibadili jinsia. Ila siwezi kaa nachukia wazungu kwa kitu ambacho hata hawakuanzisha. F***n racists
Turudi kwenye mada hii story si ya kweli, imetolewa kwenye page za udaku imetupiwa hapa, mnaoshare story muwe makini sana, jaribu kufuatilia kama ni ya kweli kabla ya kushare, wabongo wengi vilaza wanaichukua kama ilivyo wanaenda kushare kwenye whatsapp groups kama kawaida yao, kila kitu ni kuforward tu. Bora hata Magu anavyowachapa viboko mkae akili sawa maana mmezidi kupost ujinga
Huyo jamaa anataka kupotosha hapaWakurya kuoana nyumbanthobu ni tofauti na lesbianism ya wazungu.
Lesbianism ya wazungu inahusisha sexual intimacy ilhali Nyumbanthobu haina hizo za wanawake kutiana midole na midildo. Zaidi ni aliyeoa anamchagulia huyo 'mke' wake bwana wa kuzaa naye.
Mkwepe kwanza bodaboda ili tanker la petrol liangukeNi wakati wa Mungu kuchomoa betri ya dunia....
Niombee na mimi mchumba wako basiKiasi chake mchumba...
Hakuna cha fake news, hizo mambo wazungu wanafanya sana tu ni sehemu ya ibada za kishetaniFake News: Marriage Between Humans And Animals Has NOT Been Legalized In Norway
![]()
Fake News: Marriage Between Humans And Animals Has NOT Been Legalized In Norway | Lead Stories
Has marriage between humans and animals been legalized in Norway? No, that's not true: It is a hoax claim unsupported by sourcing and proven false by research. A photo purportedlyhoax-alert.leadstories.com
Hajui alisemaloHuyo jamaa anataka kupotosha hapa
Hivi huwa wana-duu nao hao mbwa wanaofunga nao ndoa?Sipati picha mtu anolewa na mbwa, mikiki mikiki ya kugandiana ni noma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Which Jesus are you talking about?
Walioleta habari za Yesu ndio hao hao waliobadili syllabus, tatizo linakuja waafrika mmekosa mapokeo mazuri kwenye ujio wa mabadiliko ya syllabus.
Wafia dini kazi mnaipata[emoji38][emoji38]
Naanzaje kukusahau katika maombi mchumba...Niombee na mimi mchumba wako basi
Dunia inaenda kasi sana, hakuna kinachoshindikanaHivi huwa wana-duu nao hao mbwa wanaofunga nao ndoa?
Tatizo la wazungu wako wazi, wanasema yale wanayoyafanya. Huko watu ni wanafiki, yale wanayofanya kila siku hawasemi na siri yao. HAKUNA TOFAUTI YOYOTE.Wale mnaowaiga Wazungu kwa kila jambo igeni na hilo, na lile la Dada na Kaka wa damu kuoana pia igeni tu. Maaana Waafrika hatupendi kubaki nyuma
'White race is finished' and you are using their language with desperation to sound whitish?
Kuwa serious bwana!