Recent content by MWANAMAKOROKOCHO

  1. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa azidi kuwasaliti na kusalitiwa na wapambe wake!

    sina hakika sana kama wanachokifanya ni usaliti, maana hao wote walikuwa wajumbe wa NECT na ndo walioamu akumpigia kura ya ndiyo magufuli ili kumaliza mchakato wa kumpata mgombea baada ya mvutano wa muda mrefu. Hivyo wanachofanya nadhani ni kuonyesha kuwa ccm ni chama chao na sasa wanamsaport...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

    Unaakili sana kijana uliyeka comment hii
  3. M

    JamiiForums Tanzania Makao makuu CUF: Ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ushiriki wao UKAWA

    kwani huyo ukawa yupo sehemu gani?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume mnaotafuta wanawake humu

    Imani yako na Ikuponye.....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kweli Mungu ni muweza wa yote?

    Mungu alimuumba binadamu kwa upendo na akamtofautisha na viumbe wengine wote kwa kumpatia AKILI, UFAHAMU kwa ajili ya kujitambua na kujitofautisha na viumbe wengine kama mijusi, mende na kereng'ende. Hivyo vitendo vya kuvaa mabomu na kujilipua ili kuua watu wengine au kuwafanyia watu wengine...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Emmanuel Nchimbi: Tunataka Rais, hatutaki mfano wa Rais...

    Nchimbi upo sawa, kwanza team lowasa mmehakikisha team Membe & jk hawatobozi 3 bora na kisha mmehakikisha wanawake hawachukui kitu. Hongera Magufuli kwa kuokota dodo chini ya mwarobaini maana haukukwa na ramani yoyote ya ikulu kilichokutokea ni kwamba " kifo cha tembo furaha ya mbwa mwitu"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna sheria inayonilinda dhidi ya SMS na Calls za matangazo kutoka kwenye kampuni za simu?

    umeuliza jambo la msingi sana,, mitandao ya sm inakera sana
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    mwanamke atakuwa makamu wa rais, wa ccm
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais UKAWA

    comments zako za matusi zinaonyesha ambavyo ujakomaa kiakili,,na kisicho niua kinanikomaza akili zaidi.. Na hakika haujui ukawa ni nini kiundani,, mfano mdogo Kama mbowe ameweza kutengua katiba ili aendelee kuwa mwenyekiti wa chama kwa miaka mingine kumi zaidi je akiwa RAIS ndo atakubali...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais UKAWA

    Poa we nitusi uwezavyo,, ila utakubali maneno yangu ndani ya mwezi huu. ukwawa umoja wa vyama vyenye watu wabinafsi
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

    Hoja siyo NAPE, Hoja ni A. ramadhan ndani ya chama. Hujaelewa comment kinahusu nini. Nahata kama in nape tayari yupo ndani ya chama na anakijua chama tofauti na Ramadhan amabaye ni sawa na mgombea binafsi ndani ya ccm
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais UKAWA

    Macho & masikio ya Watanzania ( wana CCM & upinzani) yako Dodoma kuona na kusikia Chama cha Mapinduzi kinapitisha jina lipi katika kinyanjiro cha kwenda Magogoni. Mimi hili halinipi hofu maana mchakato unahusisha chama kimoja tu, ila wasiwasi wangu upo katika kusamabaratika kwa Umoja unaojiita...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

    Mkapa ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Makerere.Nafasi alizoshikilia zamani ni pamoja na kuwa afisa wa utawala huko Dodoma na Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu. Yeye pia aliongoza ujumbe wa Tanzania huko Marekani na alikuwa Waziri waMambo ya Nje kutoka 1977 hadi 1980 na kutoka 1984 hadi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

    Augusto Ramadhan,, Je amewahi kushika nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Chama cha CCM? Maana ccm itapitisha mtu anaejua chama hicho ili awe mwenyeketi wa chama na siyo kuwa rais pekee.
Back
Top Bottom