Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

Issue kubwa siyo dini, anatoka wapi au kabila, issue ni anasifa za kuwatumikia Watanzania? Nadhani bado tunaamini CC itakuja na mtu bora zaidi ya hao.

ZEE LA MJI EDO LISHASEMA HAKUNA PLAN B. NI YEYE TU NA UYU NI MZURI PIA RAHISI SANA KWA UKAWA KUMSAMBARATISHA KWANI HAWEZI KUPAMBANA NA MAFISADI KM YEYE PIA SI MSAFI UYU. CCM MJIPANGE NAWAONA YALOIKUTA KANU... YAKIWAKUMBA NANI Pia...
 
"AGUSTINO RAMADHANI"mkrsto wa kuchonga!!!!
Na wewe ni mkristo wa kivipi? "Usihukumu ili usije ukahukumiwa." uko tayari kuhukumiwa kwa kipimo hichohicho unachomhukumia mwenzio?
 
Tano bora:
1. Jaji Augustino Ramadhani
2. Dr Asharose Migiro
3. Makongoro Julius Nyerere
4. Mohammed Gharib Bilal
5. Mwigulu Lameck Nchemba.


TAtu Bora. Wa kwanza hadi wa tatu hapo juu.
 
Rejea urais wa Mkapa. Alishika nafasi gani katika chama kabla ya kuwa Rais wa nchi?

Mkapa ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Makerere.Nafasi alizoshikilia zamani ni pamoja na kuwa afisa wa utawala huko Dodoma na Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu. Yeye pia aliongoza ujumbe wa Tanzania huko Marekani na alikuwa Waziri waMambo ya Nje kutoka 1977 hadi 1980 na kutoka 1984 hadi 1990. Nipe historia ya A. Ramadhani ndani ya ccm
 
Augusto Ramadhan,, Je amewahi kushika nafasi yoyote ya uongozi ndani ya Chama cha CCM? Maana ccm itapitisha mtu anaejua chama hicho ili awe mwenyeketi wa chama na siyo kuwa rais pekee.


We ni Bure kabisa, Sasa kwenye Chama kuna nini kikubwa mno, Mtu Kichaa kama nape nae ameweza kuwa na nafasi ya uongozi kwenye Chama, we hushangai?
 
Hoja siyo NAPE, Hoja ni A. ramadhan ndani ya chama. Hujaelewa comment kinahusu nini. Nahata kama in nape tayari yupo ndani ya chama na anakijua chama tofauti na Ramadhan amabaye ni sawa na mgombea binafsi ndani ya ccm
 
Rejea urais wa Mkapa. Alishika nafasi gani katika chama kabla ya kuwa Rais wa nchi?

Mkapa alikuwa Mbunge !! Na ubunge ni kazi ya siasa nusu ya Urais !! Mwambie Jaji Arudi Kanisani kupiga Kinanda
 
Mkapa alikuwa Mbunge !! Na ubunge ni kazi ya siasa nusu ya Urais !! Mwambie Jaji Arudi Kanisani kupiga Kinanda

Kuwa mbunge hakumaanisha kuwa Rais bora baadaye. Wapo viongozi Afrika hawajawahi kuwa wabunge. Japo mazingira yapo tofauti, lakini Kagame ni mfano mmojwapo!
 
Labda arudi Kanisani kupiga kinanda na kutoa komunio !! Huwezi kutumika mabwana wa wili , Kamwe ! na Mola atamdhalilisha kwa unafiki wake

Huyu mzee naye ameamua kuwa mwongo sasa mbele za Mungu.. eti ni mwana CCM kindakindaki wakati hajawahi hata kuwa na kofia yoyote ya uongozi kwenye chama ila anaona anaweza kukiongoza kama mwenyekiti, hii dunia ina mambo kama wasemavyo watu poli ..uanachama wenyewe wa miaka 4 ila.... anataka urais, tooba.
 
Na hisi nyinyi ni watoto wa viongozi wezi ndio maana mnamkandia Lowasa.
 
Back
Top Bottom