Recent content by mwanalizombe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mama Magufuli yuko wapi, mbona hamsaidii Mumewe kwenye kampeni?

    Yuko na bibi mdogo, sundi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu toyota raum yangu, taa ya handbrake haiwaki ila hand brake inafanya kazi kama kawaida,hilo tatizoa taa linaweza tokana na nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania nahitaji kufundisha Land survey/Geomatics/Geoinformatics

    Kasome msc petroleum itakulipa, geomatics hailipi mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Edo hayumo wakuu, napa namwona anaongea na wana habari, halmashauri kuu na mkutano mkuu ni kesho
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Wakuu edo ameshakatwa, toka jikoni hio
  6. M

    JamiiForums Tanzania New Raum new model for sale

    Cc 1980?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mshana jr au mwingine mwenye uzoefu nataka kuagiza raum, ila watu wanasema old model ni imara kuliko new model, please mwenye kujua haya magari vizuri, na matatizo yake,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio mastar wa 5 wa bongo ambao wametoka familia za kishua

    Hata mie wakishua, mzee Dg idaran fulani enzi za mwinyi, baloz usa, waziri kipindi cha ben, nimezaliwa usa, maisha bado nayaona magumu tu, ushua gan unazungumzia mtoa uzi😆😆
  9. M

    JamiiForums Tanzania Le mutuz awashukia wanaomlaumu kuhusu nyumba ya mama yake

    Mtanzania alie kaa ulaya miaka 30, na ana degree tatu, mtoto wa former pm
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimetimiza miaka 5 Jf bila ban

    Hongera
  11. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

    You what what, le mbembez, leo nimeelewa wakat ipyana anazikwa kwann wazee walisema malecela hana mtoto wa kiume mwingine😂😂😂😂
  12. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

    Mwenye kujua chochote, hawa watoto wa malecela, akina mwele, na yule mdogo wake, yule marehemu aliekuwa uvccm dar, na mwingine yule wa point tatu, ni tumbo mmoja na le mutuz?maana kama hawaendan hivi?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, kwa hili niendelee kuwa mpole au?

    Ue bado hamjaanza?????
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri formsix Leaverz JKT

    Wahi haraka, karibu watanyanganywa simu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Engineering Geology Vs Agricultural Engineering

    Loan utapata , nikushauri kwa petroleum geology tena kuna sponsor hawa jamaa wa makampun ya mafuta, kwa mfano mwaka Jana wanafunz kum wa petroleum walipewa ufazili na swala, changamkia fursa kaka, hiki ni kipindi cha geology , c it tena,
Back
Top Bottom