Nipeni hongera huu mwaka wa 5 JF na sijawahi kupewa warning au ban.
kumbe mwanangu leo ni birthday yako sikujua mie nilidhani kesho best
hongera sana
kwahiyo hiyo nyingine mpaka leo ni banned?
we unajulikana na umewasababishia wengi ban pia
Duh mimi miaka Sita ban nne tu!! Tena nyingine ni za uonevu mkuu
Pole sana mkuu bila shaka lumumba walikusababishia