Recent content by MWANAHEWA

  1. M

    JamiiForums Tanzania Picha na matukio; Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa Vatican Roma

    Wanajamii hapa chakujadili sio mavazi ila 2jadili Taifa letu limefaidika nn au limepata hasara gan juu ya hio safari.Binafsi ckuona sababu ya pinda kwenda kwenye hio sherehe ya kumuapisha papa kwani tayari kadinali pengo alisha wawakilisha wakatoliki wenzie,sasa nikimuuliza mh Pinda vatcan...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mjinga mpe cheo

    Huu ni ukurasa wa siasa,mambo haya peleka kweny ukurasa wa dini!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Zitto mkombozi wa inchi aliyekubalika hata kwa wana CCM

    Nivyemw 2015 apewe nafasi ya kugombea urais ndani ya CDM maana anweza!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Huo mfumo k kaka!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

    ccm na cdm mnabebwa na vyombo vya habari!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa na maandamano tarehe 16/3/2013

    mimi maandamano sion km ndio njia sahihi ya kupata hayo maji,chamsingi mh Mnyika aendelee kufuatilia kwa nguvu zote juu ya swalahili.Pia tatizo la maji c 2 tatizo ndani ya jimbo la ubungo bali hat majmbo mengn hapa Dar.ccm wanajua kupatikana kwamaji ktk jmbo la ubungo itakua ni sifa kwa myika...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kwenye Uzinduzi wa jengo la kitivo cha sayansi chuo kikuu cha kiislamu Morogoro

    Jamani kwan tuna lumbana nn,chuo ckinaitwa chuo kikuu cha kiislam morogoro!Pia waislamu waliamua kujitoa katika udahili wa wanafunzi kupitia TCU ili kupata idadi kubwa ya wasomi wakiislam nchini,kwan inaonekana kwamba katika vyuo vingine nchini idadi ya wanafunzi wa kiislam niwachache mno...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

    Sawa mr makavu laivu,nakushkuru sn kwa huo mchanganuo wako,kiukweli mambo kama haya hua yanafanywa sana na serikali zilizo shindwa kuongoza kwa kuleta maendeleo kwa raia wake ili kudhoofisha upinzani,ila kwa hli tusiongee mengi sn kwan haki itapatikana.ila km kweli cdm imeshiriki kwa namna moja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dini tatizo

    Acha ujinga ww kama hauko tayar kuchangia kaa kimya!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Zanzibar latoa 'picha' ya aliyemuua padre Mushi

    yan hat mm nashangaa mkuu!ok sawa mauwaji hayakibaliki ila mbona hatukuona hayo alipouwawa mwangosi aualiposhambliwa ulimboka!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya kipigo cha Kibanda yafichuka, gari ya polisi yatajwa kumfuatilia

    Nothing happened without couses!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Hapana wakuu tusiwe na jazba,binafsi nimeiona na kuisikiliza kwa makini,kimsingi polisi hawana kosa lolote kwan haiko poa kwa usalama wa waandishi wa habari,ila tunaomba sheria ichukue nafasi na sio propaganda.Tuacheni ushabiki wa vyama na tuangalie usalama wa taifa letu!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Hapana wakuu tusiwe na jazba,binafsi nimeiona na kuisikiliza kwa makini,kimsingi polisi hawana kosa lolote kwan haiko poa kwa usalama wa waandishi wa habari,ila tunaomba sheria ichukue nafasi na sio propaganda.Tuacheni ushabiki wa vyama na tuangalie usalama wa taifa letu!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanamke avae nusu-uchi halafu aogope kukaa uchi?

    Sisi kama watanzania hatuna budi kujali na kufuata maadili,kiukweli baadhi ya wanawake wamekua wakivaa nguo ambazo zinaruhusu m2 kuona visivyofaa kuonekana,kama vile kuonyesha mapaja au kitovu,jamani tusiendekeze utandawazi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

    Kiukweli hapo Islamic foundation wanapaswa kupongezwa na taasisi zingine ziige hayo,tuacheni kuangalia sana dini zetu bali kama mtu au taasisi yoyote inatoa mchango kwenye jamii tusisite kusema kwan dina zote zinahimiza upendo!
Back
Top Bottom