Alikuwa anaomba ushauri wa nini? Hivi alimleta na kumtambulisha kwenu? Wazazi wenu walimkataa? Au anaogopa kumtambulisha kwenu kwa kuwa anajua imani yake na yenu ni tofauti? Wazazi wenu wana msimamo gani na imani tofauti za kidini? :dizzy:Daah dada angu ametokea kumpenda mvulana mkristu na ssi waislam, kila siku analia na kuniambia nimpe ushauri na mimi sitaki mdogo wangu alie kisa mapenzi
so nimekuja kuomba msaada wenu wanajamii nimpeushauli gan mdgo wangu uyu aitwae AMINA!!
Daah dada angu ametokea kumpenda mvulana mkristu na ssi waislam, kila siku analia na kuniambia nimpe ushauri na mimi sitaki mdogo wangu alie kisa mapenzi

Acha ujinga ww kama hauko tayar kuchangia kaa kimya!
Daah dada angu ametokea kumpenda mvulana mkristu na ssi waislam, kila siku analia na kuniambia nimpe ushauri na mimi sitaki mdogo wangu alie kisa mapenzi
so nimekuja kuomba msaada wenu wanajamii nimpeushauli gan mdgo wangu uyu aitwae AMINA!!
peleka fb utapata wachangiaji wengi