Kwanini mwanamke avae nusu-uchi halafu aogope kukaa uchi?

Kwanini mwanamke avae nusu-uchi halafu aogope kukaa uchi?

Sisi kama watanzania hatuna budi kujali na kufuata maadili,kiukweli baadhi ya wanawake wamekua wakivaa nguo ambazo zinaruhusu m2 kuona visivyofaa kuonekana,kama vile kuonyesha mapaja au kitovu,jamani tusiendekeze utandawazi.
 
Back
Top Bottom