Hivi kazi za kufanya hamuna?mmmmh utata huu Hwanachelewesha ili tukate tamaa bado tutasubiri mpaka mwisho
Hiyo Swaum gani...mnashinda na njaa tu.Kumbe tuliofunga wengi eeeh? Inshallah Allah atafungua njia tu
Chapa Lapamsinielewe vibaya wenzangu.hivi jamani muda wa kuwa jf watu mnaupata wapi?kazi zinafanywa saa ngapi?katika topic ambazo zinajaza uzi ni siasa.maana humu kuna watu,asubuhi wapo,mchana wapo na jioni wapo.au wenzangu wengi mabosi humu?au wengi ni self employed?
Kwani huko Kisutu kuna vivutio, Lwakatare kaenda kutalii? mbona hatuelewi kinachoendelea!.
Wala hawawezi lolote HAGUE inawangoja kwa mauaji mliyofanya nyie majambazi! mnaojiita wanausalama!!Ndio maana muna fanya mbinu za kigaidi kwakutegemea hakuna uwepo wa Police? Sasa ngoja muonyeswe Usalama wa Taifa ulipo.
sio wote wapo Tanzania, na sio wote wanafanyakazi muda unaofanya wewe....hivi kuingia jf lazima usimamishe kazi zingine.?msinielewe vibaya wenzangu.hivi jamani muda wa kuwa jf watu mnaupata wapi?kazi zinafanywa saa ngapi?katika topic ambazo zinajaza uzi ni siasa.maana humu kuna watu,asubuhi wapo,mchana wapo na jioni wapo.au wenzangu wengi mabosi humu?au wengi ni self employed?
Jambazi liko kisutu hukoo lina subiri maamuzi ya pelatoWala hawawezi lolote HAGUE inawangoja kwa mauaji mliyofanya nyie majambazi! mnaojiita wanausalama!!
Fatou Bensouda wa HAGUE alikuja kuhoji majambazi hapa akiwepo mkuu wenu Ba mwanaasha! Subirini mtatekenya masaburi kwa vidole vyenu wenyewe!Jambazi liko kisutu hukoo lina subiri maamuzi ya pelato
msinielewe vibaya wenzangu.hivi jamani muda wa kuwa jf watu mnaupata wapi?kazi zinafanywa saa ngapi?katika topic ambazo zinajaza uzi ni siasa.maana humu kuna watu,asubuhi wapo,mchana wapo na jioni wapo.au wenzangu wengi mabosi humu?au wengi ni self employed?
tunatumia cm za mikononimsinielewe vibaya wenzangu.hivi jamani muda wa kuwa jf watu mnaupata wapi?kazi zinafanywa saa ngapi?katika topic ambazo zinajaza uzi ni siasa.maana humu kuna watu,asubuhi wapo,mchana wapo na jioni wapo.au wenzangu wengi mabosi humu?au wengi ni self employed?
Maneno meeengi vitendo vichacheThis morning i woke up in a curfew, oh God i was a prisoner too, could not recorgise those faces standing over me, how many rivers do we have to cross before we can talk to the boss. All we 've got it seems we have lost....... Bob aliimba kwenye burnin' and lootin' sasa nadhani imefika kipindi chakushikishana adabu km Syria tuu
Gaidi ni huyu.Hawa nao!! Hivi huyu na Uamsho nani gaidi!!