Tunasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa TANU chama kilichotupatia uhuru na sasa tupo na chama cha mapinduzi ccm iliyotupatia maendeleo mengi ya barabara,shule,hospital,maji,vyuo.ccm inayo mthamini mkulima na mfanyakazi! MUNGU IBARIKI TANZANIA,UNGU IBARIKI CCM ,MUNGU MBARIKI RAIS WETU MH.JAKAYA...