Je hii ndiyo democrasia? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je hii ndiyo democrasia?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANAHARAKAtii, May 26, 2011.

 1. M

  MWANAHARAKAtii Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijana wasomi kuacha taaluma zao na kufuata mkumbo wa siasa ni kupanuka kwa democrasia ama ni ulimbukeni wa kuiga??
   
 2. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,635
  Likes Received: 4,743
  Trophy Points: 280
  Kama wewe ni mwanaharakati kweli basi jibu unalo.Huwezi kufanya harakati zozote dunia ya sasa kama huna elimu ya kutosha.
   
 3. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Inakera sana, kijana kama wewe kuacha taaluma yako na kuajiriwa ili ulete mada zisizo na kichwa wala miguu hapa ili Jf ionekane haina maana.
   
 4. m

  mwl JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 862
  Likes Received: 588
  Trophy Points: 180
  Kuwa specific, ulimbukeni wa kumuiga nani. Mwanasiasa asie msomi matokeo yake ni haya magamba.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  internet access is completely abused ..... !
   
 6. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mkuu siku nmoja posts 6? tena zote za aina hii hii?Jipange mkuu.Hueleweki
   
 7. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2011
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  [​IMG] Junior Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 26th May 2011
  Posts : 6
  Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0

  UTUMBOOOOOOOO !
   
 8. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Unataka siasa tuwaachie vilaza ili waendelee kutuibia?
   
 9. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Umeona speach ya Obama kule uingereza, Tunataka maraisi kama wale. Sio Ngumbaro. Wacheni vijana wafanye siasa, wakomae. Siasa haina mwenyewe, inatuhusu sote. CDM kazaneni kutoa elimu ya uraia inaonekana bado kuna watu hawajakomboka kifikra, wana mawazo ya zidumu fikra za mwenyekiti.:biggrin1:
   
Loading...