Chadema imchunguze Naibu Katibu Mkuu wake

Hii akili ya kumshutumu mleta hoja, mnalimaliza Taifa hili. Yani hata kama zitto ni mjinga zile namba za simu mlizotoa mkadai alikuwa anaongea na usalama wa taifa, bado ataendelea kutuma rushwa kwa m-pesa? Mhhhmmmm
 
Zitto he's smart na anakila sababu ya kumpa sapot mtu ampendaye coni ubaya wowote wa yeye kumpatia hzo fedha,otherwise ni majungu tu ya kina lema na mbowe wanaofanya fitna.
 
Hii akili ya kumshutumu mleta hoja, mnalimaliza Taifa hili. Yani hata kama zitto ni mjinga zile namba za simu mlizotoa mkadai alikuwa anaongea na usalama wa taifa, bado ataendelea kutuma rushwa kwa m-pesa? Mhhhmmmm

You/We never know mkuu, sema siku njema inaonekana asubuhi so inabidi kufanya uchunguzi na kuwa na attention kidogo sio kumuwekea 100%....
 
Wakuu bila kuangalia tuhuma,Zitto ni kiongozi mzito ndani ya cdm,kwanini asiwasiliane na wenzake kuweka mikakati ya kusafisha hili.anasema kuandika barua utadhani mwanachama wa kawaida! Na anasema hayo magazetini! Hivi slaa akiona jambo cdm amuandikie mbowe barua? Tuache kuzunguka mbuyu kuna tatizo kubwa kwa Zitto na tumeshasema sana.Zitto kila anachofanya nyuma yake kuna personal motive.
 
Back
Top Bottom